Ni kweli kabisaaa lakini kwanini iwe rahisi kugombanishwa?matatizo na migogoro mingi kwa aslimia kubwa ya africa yanatokana na watu weupe eg. DRC, Libya nk.
Kwenye famila mtu tajiri akisema wewe ni mwizi hiyo imepitishwa hakuna wakupinga (nchi maskini vs tajiri)
Kuna mambo mengi sana yaliyopeleka Europeans kuwa advanced kuliko Waafrika. Lakini sababu kuu ni mazingira tofauti yenye changamoto tofauti yanayohitaji solutions na utumiaji wa akili tofauti. Hivyo njia pekee ya Waafrika kufikia level za Europeans in technological advancements na nyanja nyingine zilizochukua maelfu ya miaka, ni kujifunza kutoka kwao. Kitu kilichofanywa na kinachofanywa na advanced Asian countries leo hii.Naomba uniambie ni kitu gani mwafrika ameweza kufanya mwenyewe kikaleta mabadiliko makubwa duniani pasipo kuhitaji msaada wowote ule wa kifedha au kiutaalamu kutoka kwa wazungu.
Angalau kwenye nyanja za kiuchumi, kisiasa, kielimu, kiafya na kwenye sayansi na teknolojia.
Bila kuhusisha msaada wa aina yeyote ile wa utaalamu au fedha za wazungu.
Hakuna mijitu mijinga kama miarabutembea babu
waarabu washenzi na hawapendi kusoma shauri ya serikali kuwawekea ustawi mzuri wa maisha. halafu wao zaidi ni biashara. sisi ni mavi tupu kila kitu. huko kusoma kumetusaidia nini? sisi tofauti ya aliyesoma na asiesoma ni kwamba mmoja ana nafasi kula keki ya taifa kuliko mwenzake.
Imagine wanaume watu wazima na kende zao wanambeba mzungu kutoka Kigoma mpaka Kilimanjaro kwenye mashamba ya katani, kisa Mzungu ana kabastola au gobole kiunoni...na hapo aliyefanikisha ni Chief waoMachief wa kiafrika walitoa mchango mkubwa sana kufanikisha biashara ya utumwa na ukoloni.
Mzungu hakufanikiwa hivi hivi tu. Bila ushirikiano na waafrika wasaliti na Machief wajinga walio uza wenzao.
Zamani vita, utumwa na ukoloni zilikuwepo kwenye jamii nyingi karibu zote hapa duniani na yule ambaye ni mnyonge ndio alikuwa wakuonewa.Record za Wazungu zinazokidhi vigezo vyako.
Vita vya dunia.
Ukoloni.
Utumwa.
Kuchukua maeneo ya watu.
Why am I even answering you.
Mjinga ni yule aliyeingizwa kwenye mfumo naye akaingia mkenge na kuanza kumtumikia Bwana wake na kuwasaliti ndugu zakeNani mwenye makosa? Aliyeanzisha biashara ya ukoloni na utumwa au chief aliyelazimwisha ku-cooporate au wangempiga risasi sababu hawezi kujitetea?
Proud of your race Kijana, tofautisha Nationality na raceBlack? What black? Black coffee, black table, black bottle, black color? Are you American?
You're not Black. You're an African, East African, Tanzanian, your tribe, your name, and so on. Acha kujishusha na kujiita Black. It's dehumanizing.
Muda hauondoi ubaya wa kitu. Na unamaanisha nini unaposema USA ilipitia ukoloni?Zamani vita, utumwa na ukoloni zilikuwepo kwenye jamii nyingi karibu zote hapa duniani na yule ambaye ni mnyonge ndio alikuwa wakuonewa.
Hata USA alipitia ukoloni, ila leo hii ndio super power.
Ukoloni ni Excuse ya waafrika wazembe na wavivu.
Ambao hadi leo mna karibu miaka 63 ya kujiongoza na kujitawala wenyewe, ila hakuna kilichofanyika kwa ufasaha zaidi ya maraisi wa kiafrika kulia lia njaa na kutembeza bakuli kuomba misaada na mikopo kutoka kwa wazungu.
Hapa Afrika tu jamii nyingi sana zilikuwa zinapigana, zinauana na kunyang'anyana ardhi.
Kwanza leo hii hapa Afrika ukoloni bado unaendelezwa, Mfano wale wa Masai wa Ngorongoro wamefukuzwa kijanja kwenye ardhi yao.
Watu wengi tu hapa Afrika wanamiliki ardhi kinyamera bila hata kufuata utaratibu na sheria.
Ndio maana kesi za mashamba, viwanja ni endless kwa Afrika.
Na yeye alishatawaliwa vilevile.Muda hauondoi ubaya wa kitu. Na unamaanisha nini unaposema USA ilipitia ukoloni?
Hakuna jamii isiyo kuwa na watu choka mbaya hapa duniani lakini tunacho angalia ni uwiano.Wewe una wazungumzia hao waarabu wachache wa mijini hapo Qatar, UAE, Saudia na Oman unao waona kwenye media wana maisha safi.
Kuna wale waarabu choka mbaya wa vijijini huko na nchi zingine za kimaskini ni wengi sana.
Kwanza huyo Mungu hayupo.Hakuna haja ya kubeza wengine na kuitana wapumbavu, Kwa Mungu sote ni sawa, yeye ni Mungu wa wote, hachagui dini wala kabila.
What the hell are you talking about?Proud of your race Kijana, tofautisha Nationality na race
You are Black, There are Blacks, Asians, Indians, Latins, Caucasians, Whites, Arabs etc
Blacks wapo lakini ndio Wajinga
Fikiria kupanda daladala tuu ni issue sometimes, badala ya kupanga foleni na kuingia kwa zamu, wanapigana na wengine kuingilia madirishani, au serikali inaiba kura za uchaguzi, mtu mweusi ni matatizo matupu
Sijakuuliza nani mjinga, kama ni ujinga basi wote ni wajinga. Sababu kumgeuza binadamu mwingine mtumwa sio kitendo cha akili, bali ni kitendo cha kikatili kilichosababishwa na ujinga.Mjinga ni yule aliyeingizwa kwenye mfumo naye akaingia mkenge na kuanza kumtumikia Bwana wake na kuwasaliti ndugu zake
Wazungu walikuwa smart since, Majinga ni Mabantu