Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Emu taja walau innovation Moja? Utafichiwaje historia Yako kama sio mjinga na mpumbavu ?Ndio mnavyodanganywa hivyo kama mlivyodanganya idi Amin alikuwa anakula nyama za watu kuna innovation nyingi tena kubwa zilianzishwa na watu weusi sema wazungu wanaficha uhalisia na ww umeingia King ila waafrika kweli hatupendani.
Hayo mambo kafanyiwa kila mtu; kuanzia Mchina , muhindi mpaka mzungu mwenyeweNani alitutawala na kuua mababu zetu? Nani anaiba mali zetu tukipata kiongozi shupavu wanamuua
ukinijibu hayo unambie uzuri wao uko wapi
Tunafanyiwa hayo na wazungu kwa sababu sisi kiasili tuna ubinafsi na ujinga.... Mjanja hawezi kufanyiwa hayo yote... Mali hawezi kuibiwa mjanja, anaibiwa mjingaNani alitutawala na kuua mababu zetu? Nani anaiba mali zetu tukipata kiongozi shupavu wanamuua
ukinijibu hayo unambie uzuri wao uko wapi
Chief Mangi Meli alipewa kioo cha kujiangalia na akauza watu.... Nafsi ya mtu dhidi ya kioo...Nani mwenye makosa? Aliyeanzisha biashara ya ukoloni na utumwa au chief aliyelazimwisha ku-cooporate au wangempiga risasi sababu hawezi kujitetea?
Afadhali mwarabu......Mwafrika amezidi
matatizo na migogoro mingi kwa aslimia kubwa ya africa yanatokana na watu weupe eg. DRC, Libya nk.
Kwenye famila mtu tajiri akisema wewe ni mwizi hiyo imepitishwa hakuna wakupinga (nchi maskini vs tajiri)
We mdengereko umekubali kuwa Tumbili 🐒 alaf mwarabu amekuwa binadamu bora kisa kitabu cha majiniUnachuki binafsi na waarabu ila hao ndio race bora kuwahi kutokea ulimwenguni
Mkuu ni kweli sina exposure ya namna hiyo... lakini machafuko yaliyo mengi hasa nchi ulizoorodhesha hapo juu ni mipango inayotumia social science ya hali ya juu mno.Nenda Congo, Tigray huko Ethiopia, Cabo Delgado Msumbiji, Sudan, Gabon, Afrika ya kati, Burkina Faso uone jinsi waafrika wanavyo chinjana na kuuana kama kuku.
Halafu ndio utapima kama kweli waafrika hawana nongwa.
Ukiishi Tanzania tu, ukila na kunywa na kutulia hutajua uhalisia waafrika watu weusi ulivyo.
Tembea uone.
Democide ndani ya U.S ni kubwa na inazidi kukua kila leo.
Deep state ( Wahuni wanaifubaza Mamlaka ya Raisi na Serikali yake) hapa nazungumzia war veterans,CIA wahovyo, FBI wahovyo na wengineo wanaamua kuunda matukio ya kuleta machafuko kwa maslahi yao Sisi tunaona maslahi ya Taifa.
Kila taifa linapambana kwa maslahi yake.Democide ndani ya U.S ni kubwa na inazidi kukua kila leo.
Deep state ( Wahuni wanaifubaza Mamlaka ya Raisi na Serikali yake) hapa nazungumzia war veterans,CIA wahovyo, FBI wahovyo na wengineo wanaamua kuunda matukio ya kuleta machafuko kwa maslahi yao Sisi tunaona maslahi ya Taifa.
Je wazungu wenyewe ndio wanakuja kukuua au wanakula njama na waafrika wenzako wa jamii yako?Mkuu ni kweli sina exposure ya namna hiyo... lakini machafuko yaliyo mengi hasa nchi ulizoorodhesha hapo juu ni mipango inayotumia social science ya hali ya juu mno.
Na walio nyuma ya hiyo mipango ndio hao hao wazungu kupitia Intelligence agency zao kwaajili ya masrahi yao.
Mataifa makubwa yote USA na Russia. Watu wake na viongozi wake wameungana kwa pamoja na hakuna nafasi au mwanya wowote ule kwa msaliti kusaliti nchi akabaki salama.Hata hawa waarabu nao ni wahanga wakubwa wa hii michezo ya wakubwa.
Kina, Iraq, Afghanistan, Syria,
Hapa chini nimeona mtaalam kagusia kina CIA na Deep state hapa unamuongeza na Mrusi
Likija suala la maslahi yanapogongana haya mataifa mawili USA na URUSI basi hiyo nchi au eneo linalopiganiwa basi lazima lilete sura mpya katika historia ya dunia (ni mtiti).
Wewe na muarabu mnafanana nini sasa ?Sisi weusi ni wajinga ila Mwarabu ndio jinga zaidi. Bora sisi hata shule angalau. Yeye ana kitabu chake anasema kina ilim zote😀😀
Aliekuzaa ingependeza zaidi ukamwita hilo jinaWe mdengereko umekubali kuwa Tumbili 🐒 alaf mwarabu amekuwa binadamu bora kisa kitabu cha majini
Kwasababu umeanza na ubishi ngoja nikuache ina maana wazungu wanavyotangaza mtu mwenye umri mkubwa duniani yupo ulaya ana miaka 105 ina maana Africa kuna masokwe au binadamu maana watu wenye umri mkubwa Africa wapo ila wazungu mpaka hyo tuzo wamewanyima waafrika.Emu taja walau innovation Moja? Utafichiwaje historia Yako kama sio mjinga na mpumbavu ?
Uwongo mkubwa sana huu.matatizo na migogoro mingi kwa aslimia kubwa ya africa yanatokana na watu weupe eg. DRC, Libya nk.
Kwenye famila mtu tajiri akisema wewe ni mwizi hiyo imepitishwa hakuna wakupinga (nchi maskini vs tajiri)
To cut the story tungekuwa tuna akili timamu tungeenda kuwatawala wao huko ulaya.
Dominant hutawala dhaifu.
Africa tunatia huruma pale SOUTH AFRICA wenye asili ya kizungu wapo busy kujenga uchumi ila meusi yapo busy kuuuza madawa ya kulevya na kufanya unyang'anyi wa kutumia silaha
Mmepeleka taarifa kwamba Afrika Kuna mtu huyu na huyu and umri mkubwa au mlitegemea ataota hiyo taarifaKwasababu umeanza na ubishi ngoja nikuache ina maana wazungu wanavyotangaza mtu mwenye umri mkubwa duniani yupo ulaya ana miaka 105 ina maana Africa kuna masokwe au binadamu maana watu wenye umri mkubwa Africa wapo ila wazungu mpaka hyo tuzo wamewanyima waafrika.
Weusi ni ubishi wewe fikiria tumeteswa miaka zaidi ya 1000 utumwani ila tunadunda kama unawakubali wazungu nenda wakuipge mbupu kaka