Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Emu taja walau innovation Moja? Utafichiwaje historia Yako kama sio mjinga na mpumbavu ?Ndio mnavyodanganywa hivyo kama mlivyodanganya idi Amin alikuwa anakula nyama za watu kuna innovation nyingi tena kubwa zilianzishwa na watu weusi sema wazungu wanaficha uhalisia na ww umeingia King ila waafrika kweli hatupendani.