MDAU: Blacks and Arabs ni races zenye upumbavu wa Milele.

MDAU: Blacks and Arabs ni races zenye upumbavu wa Milele.

Ndio mnavyodanganywa hivyo kama mlivyodanganya idi Amin alikuwa anakula nyama za watu kuna innovation nyingi tena kubwa zilianzishwa na watu weusi sema wazungu wanaficha uhalisia na ww umeingia King ila waafrika kweli hatupendani.
Emu taja walau innovation Moja? Utafichiwaje historia Yako kama sio mjinga na mpumbavu ?
 
Nani alitutawala na kuua mababu zetu? Nani anaiba mali zetu tukipata kiongozi shupavu wanamuua
ukinijibu hayo unambie uzuri wao uko wapi
Hayo mambo kafanyiwa kila mtu; kuanzia Mchina , muhindi mpaka mzungu mwenyewe
Ishu inakuwa unajinasuaje na mtego huo? Mchina kafanya na wengine wengi.......sisi ni lawama tu
 
Nani alitutawala na kuua mababu zetu? Nani anaiba mali zetu tukipata kiongozi shupavu wanamuua
ukinijibu hayo unambie uzuri wao uko wapi
Tunafanyiwa hayo na wazungu kwa sababu sisi kiasili tuna ubinafsi na ujinga.... Mjanja hawezi kufanyiwa hayo yote... Mali hawezi kuibiwa mjanja, anaibiwa mjinga
 
Nani mwenye makosa? Aliyeanzisha biashara ya ukoloni na utumwa au chief aliyelazimwisha ku-cooporate au wangempiga risasi sababu hawezi kujitetea?
Chief Mangi Meli alipewa kioo cha kujiangalia na akauza watu.... Nafsi ya mtu dhidi ya kioo...

Waafrika ni wapumbavu, wako radhi wakutoe roho kwa manufaa yao, ila wazungu uteteana
 
Labda nyie wahaya ndio wapumbavu sisi wahabeshi ni werevu
 
Libya ni weusi au weupe?
matatizo na migogoro mingi kwa aslimia kubwa ya africa yanatokana na watu weupe eg. DRC, Libya nk.
Kwenye famila mtu tajiri akisema wewe ni mwizi hiyo imepitishwa hakuna wakupinga (nchi maskini vs tajiri)
 
Hivi kuna upumbavu kama kuruhusu jinsia moja kufanya mapenzi na kuoana au huo ni ustaraabu kwa wazungu,sikia wewe kima weka yu kwenye ai alafu acha kujidharau hakuna tabia yoyote narudia yoyote ambayo hao uliwataja wanaifanya alafu hakuna mzungu haifanyi tena acha waliokufa hawa wanaoishi.kImA wee weka yu kwenye I umesikia?
 
Nenda Congo, Tigray huko Ethiopia, Cabo Delgado Msumbiji, Sudan, Gabon, Afrika ya kati, Burkina Faso uone jinsi waafrika wanavyo chinjana na kuuana kama kuku.

Halafu ndio utapima kama kweli waafrika hawana nongwa.

Ukiishi Tanzania tu, ukila na kunywa na kutulia hutajua uhalisia waafrika watu weusi ulivyo.

Tembea uone.
Mkuu ni kweli sina exposure ya namna hiyo... lakini machafuko yaliyo mengi hasa nchi ulizoorodhesha hapo juu ni mipango inayotumia social science ya hali ya juu mno.

Na walio nyuma ya hiyo mipango ndio hao hao wazungu kupitia Intelligence agency zao kwaajili ya masrahi yao.

Hata hawa waarabu nao ni wahanga wakubwa wa hii michezo ya wakubwa.

Kina, Iraq, Afghanistan, Syria,

Hapa chini nimeona mtaalam kagusia kina CIA na Deep state hapa unamuongeza na Mrusi

Likija suala la maslahi yanapogongana haya mataifa mawili USA na URUSI basi hiyo nchi au eneo linalopiganiwa basi lazima lilete sura mpya katika historia ya dunia (ni mtiti).
Democide ndani ya U.S ni kubwa na inazidi kukua kila leo.
Deep state ( Wahuni wanaifubaza Mamlaka ya Raisi na Serikali yake) hapa nazungumzia war veterans,CIA wahovyo, FBI wahovyo na wengineo wanaamua kuunda matukio ya kuleta machafuko kwa maslahi yao Sisi tunaona maslahi ya Taifa.
 
Kila taifa linapambana kwa maslahi yake.

Kwani kuna taifa linalo pambana kwa maslahi ya taifa jingine?

Kagame mwenyewe anapeleka jeshi lake Congo kwa maslahi yake na nchi yake.

Ndio maana kila mara wanagombana na Felix Tshekedi.
 
Mkuu ni kweli sina exposure ya namna hiyo... lakini machafuko yaliyo mengi hasa nchi ulizoorodhesha hapo juu ni mipango inayotumia social science ya hali ya juu mno.

Na walio nyuma ya hiyo mipango ndio hao hao wazungu kupitia Intelligence agency zao kwaajili ya masrahi yao.
Je wazungu wenyewe ndio wanakuja kukuua au wanakula njama na waafrika wenzako wa jamii yako?

Kwa nini wazungu wameweza kuwa nyuma kwenye mipango juu ya waafrika?

Kwa nini waafrika hawawezi kuwa nyuma juu ya mipango ya wazungu?

Kwa nini inakuwa vigumu kwa Waafrika kutumia intelligence agency zao kwenda kwenye nchi za wazungu kuleta vurugu na vita?

Tatizo ni kwamba, Waafrika wanapenda rushwa. Mwafrika ukisha mhonga anaweza kumsaliti hata mama yake mzazi kisa hiyo rushwa.

Ila ni ngumu sana mwafrika kumshawishi mzungu kwenye jambo lolote lile hata kwa rushwa.

Je huoni wazungu wametuzidi maarifa hapa?

Hata hawa waarabu nao ni wahanga wakubwa wa hii michezo ya wakubwa.

Kina, Iraq, Afghanistan, Syria,

Hapa chini nimeona mtaalam kagusia kina CIA na Deep state hapa unamuongeza na Mrusi

Likija suala la maslahi yanapogongana haya mataifa mawili USA na URUSI basi hiyo nchi au eneo linalopiganiwa basi lazima lilete sura mpya katika historia ya dunia (ni mtiti).
Mataifa makubwa yote USA na Russia. Watu wake na viongozi wake wameungana kwa pamoja na hakuna nafasi au mwanya wowote ule kwa msaliti kusaliti nchi akabaki salama.

Ndio maana yule kiongozi wa Wagner Prighozin alipoleta usaliti aliuwawa chap.

Njoo Afrika sasa, usaliti uhaini, ukabila na chuki vimetutawala. Ndio maana viongozi wengi hawa aminiani, ishu ya Ruto na Gachagua ni mfano hai.
 
Sisi weusi ni wajinga ila Mwarabu ndio jinga zaidi. Bora sisi hata shule angalau. Yeye ana kitabu chake anasema kina ilim zote😀😀
Wewe na muarabu mnafanana nini sasa ?

Nyie bado mnakunya vichakani jitazame na waarabu kama mnafanana kwa lolote lile
 
Emu taja walau innovation Moja? Utafichiwaje historia Yako kama sio mjinga na mpumbavu ?
Kwasababu umeanza na ubishi ngoja nikuache ina maana wazungu wanavyotangaza mtu mwenye umri mkubwa duniani yupo ulaya ana miaka 105 ina maana Africa kuna masokwe au binadamu maana watu wenye umri mkubwa Africa wapo ila wazungu mpaka hyo tuzo wamewanyima waafrika.
 
True
To cut the story tungekuwa tuna akili timamu tungeenda kuwatawala wao huko ulaya.
Dominant hutawala dhaifu.
Africa tunatia huruma pale SOUTH AFRICA wenye asili ya kizungu wapo busy kujenga uchumi ila meusi yapo busy kuuuza madawa ya kulevya na kufanya unyang'anyi wa kutumia silaha
 
Kwasababu umeanza na ubishi ngoja nikuache ina maana wazungu wanavyotangaza mtu mwenye umri mkubwa duniani yupo ulaya ana miaka 105 ina maana Africa kuna masokwe au binadamu maana watu wenye umri mkubwa Africa wapo ila wazungu mpaka hyo tuzo wamewanyima waafrika.
Mmepeleka taarifa kwamba Afrika Kuna mtu huyu na huyu and umri mkubwa au mlitegemea ataota hiyo taarifa
N.B: Bado hujataja innovation hata Moja
 
Weusi ni ubishi wewe fikiria tumeteswa miaka zaidi ya 1000 utumwani ila tunadunda kama unawakubali wazungu nenda wakuipge mbupu kaka
 
Back
Top Bottom