kumtawnga mtu risasi hadharani na kisha mkazuia poilisi wasifanye lolote ,ni zaidi ya wanyama,kumbukeni na nyinyi ipo kesho yenuKama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Wanasiasa wenye akili na busara kama huyu huwa wanakumbuka kuna kesho hata kesho kutwa ndo maana wanachukuwa tahadhari kupita kwenye njia wanayojua ina simba mla watu. Lissu hana tatizo na mahakama hata kama kesi yake akishindwa hukumu ni kifo, tatizo ni ukinywa wa muhimili wenye jukumu la kulinda usalama wake kama raia na vitendo vya muhimili uliokuwa mwajiri wake.Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Kumbe na wewe bonge la kiaziKama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
1. anzori gwanda yupo wapi? rejea kauli ya Waziri wa jalalani akiwa LondonTanzania ni salama
Nchi namba moja kwa amani Africa
Tuache kuichafua Nchi yetu
Wakina nanai hao? Mdhamini mwenyewe anayasema hayo kwa kuwa anajua ukweli wa mambo. Sijui kama unayetoa kauli hiyo unatetea serekali/CCM kwa udi na uvumba kiasi kwamba kila kitu kinachotoka upande mwingine ukione kibovu.Wameshaanza ujinga tena
Hivi hili bwabwa huwa linayokeaga wapiTanzania ni salama
Nchi namba moja kwa amani Africa
Tuache kuichafua Nchi yetu
Anafahamu mahakama zipo lakini wasiojulikana bado serikali imewahifadhi ili waje wamuue kabisa.Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Kama kuna amani mbona Rais raia anavaa kijeshi akizungukwa na mamia ya walinzi, anaogopa nini katika hiyo nchi ya amani!!?Tanzania ni salama
Nchi namba moja kwa amani Africa
Tuache kuichafua Nchi yetu
Ukweli upi na wewe bwege, kwamba wakolomije hawakuwa sehemu ya madhara yake au!!?Ikitokea bwana lisu akaona ukweli Na akaamua kurudi ccm hivi wapambe mutakuweje?
Asikupotezee muda pimbi kumjibu, ana laana huyo!Huo msemo wa mabeberu ni propaganda za kizee,na ww utakuwa mzee lazima. Ni hivi Tundu Lisu asirejee nyumbani kwa sasa maana waliogiza yeye kupigwa risasi ndio hao wanaoagiza uchaguzi uvurugwe.
Najisikia kukujibu ila naona utaharibu siku yanguWanaotaka kumuua ni Chadema wenyewe baada ya kulifahamu hilo sasa yale matusi yake kwa Serikali na wananchi wa Tanzania yamemponza anaona aibu. Watanzania ni wema sana hawana kinyongo arudi tu aendelee na Maisha yake. Ujanja ujanja wa kupayuka hovyo umemponza.
Nisalama wakati watu wanauliwa ktk viroba wengine wanatekwa na wengine wanapigwa Risasi mchana kweupe na CCTV kuondolewa ili kupotezwe ushahidiTanzania ni salama
Nchi namba moja kwa amani Africa
Tuache kuichafua Nchi yetu