Mdogo wangu ameoa ilihali hana kazi anakaa kwa wazazi wetu

Mdogo wangu ameoa ilihali hana kazi anakaa kwa wazazi wetu

Uhali gani wanajamii. Nina mdogo wangu ana miaka 22 ameoa mwezi uliopita kiufupi walichukuana tu baada ya kupendana na mdada mmoja yupo mitaani Sasa ubaya nikwamba hana kazi yoyote yeye na mkewe wapo tu home chumba chenyewe wanalala chumbani Kwangu Sema mimi nina miezi kama saba sijarudi home.

Anasubiri tuwatumie wazazi hata elfu tano nawao wale chakula kupitia hiyo pesa, hawana nyuma wala mbele kimsingi ni joblessest. Wanatia aibu nae mwanamke mwenyewe niwamitaani tu.

Nawaombea maisha mema ila nawahurumia kesho yao. Kama tu mimi kaka yao nina kazi nzuri yenye pesa nzuri nikisafiri tu posho nene ila bado sijajipanga kuowa lakini huyu dogo sijui ibilisi gani kamshawishi kuowa.
Mdogo wako anaupiga mwng km mayeleeee 😁😁😁😁 mvumilien tu akil itamfunguka mda c mref cha mu mpe mda...
 
Unaihurumia kesho yao?
Kwa hiyo wewe unaijua kesho yako eti
Hakuna Ibilisi anaeshawishi kuoa labda anaeshawishi watu wasioe [emoji23]
Usimhukumu bianadamu hata wewe huna mkataba na maisha
Unaweza kesho ukamtegemea
 
Una kazi nzuri na allowances za maana lakini una chumba chako kwa wazazi wako ambacho huyo mdogo wako anakaa na mkewe sio!

Nenda upange chumba ujitegemee, hicho chumba chako kwa wazazi wako muachie mdogo wako na mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom