Mdogo wangu ameoa ilihali hana kazi anakaa kwa wazazi wetu

Mdogo wako anaupiga mwng km mayeleeee 😁😁😁😁 mvumilien tu akil itamfunguka mda c mref cha mu mpe mda...
 
Unaihurumia kesho yao?
Kwa hiyo wewe unaijua kesho yako eti
Hakuna Ibilisi anaeshawishi kuoa labda anaeshawishi watu wasioe [emoji23]
Usimhukumu bianadamu hata wewe huna mkataba na maisha
Unaweza kesho ukamtegemea
 
Una kazi nzuri na allowances za maana lakini una chumba chako kwa wazazi wako ambacho huyo mdogo wako anakaa na mkewe sio!

Nenda upange chumba ujitegemee, hicho chumba chako kwa wazazi wako muachie mdogo wako na mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…