Mdogo wangu ameoa ilihali hana kazi anakaa kwa wazazi wetu

Unatuma buku 5, kumbe nawewe huna maisha?
Huko Rwanda, Burundi, Uganda na Sudanbunasafiria uganga?
 
Kaka mtu kwakua yeye yuko chaputa anataka dogo nae afate nyanyo.. dogo kakataa

Hili nalo naomba mkalitizame
Dogo maisha yake yanaweza kuja nyooka kuliko kaka mtu mleta mada. Kaka anasubir apate hela, ajenge, anunue garii ndo aoneshe jiko lakee
 
Dogo maisha yake yanaweza kuja nyooka kuliko kaka mtu mleta mada. Kaka anasubir apate hela, ajenge, anunue garii ndo aoneshe jiko lakee
Hakunaga miujiza hiyo you can't become wealth just overnight
 
Malezi mabovu toka kwa wazazi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…