Mdogo wangu ameoa ilihali hana kazi anakaa kwa wazazi wetu

Unajua kwa nini mwanamke akiolewa anasema amestirika? Huyo dada wala haoni shida hata hela atume babu....yeye anachojua mmemstiri period [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tumemstiri kwenye nini
 
Hawana mbele wala nyuma ukimaanisha hawana tako/kalio na mshedede/mbususu?
 
Kwani kabla ya kuoa aliwashirikisha na kama ndio mlimruhusu vipi kuoa kama hajaanza kujitegemea bado.
 
Mbona kulikuwa na muda WA kumshauri KABLA ya kufikia hiyo hatua ya kuoa yaani Hadi anataka kuoa mnamwangalia tu mimi NAHISI labda ni story tu ila mdogo wako Hana mbele Wala NYUMA unashindwaje kumshauri alafu wewe ni kaka yake LAZIMA akuskilize .
 
uache kutuma uone masimango!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…