Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

Hamna kitu. Mitego inakuja pale kun somo linamsumbua na kuna vijana hilo somo wanapasua vizuri tu, atajisogeza mwenyewe. Ila kama kichwani yuko good we tulia tu.
 
But ukweli ni kuwa 95% ya mabinti wote walio na uwezo kiuchumi na wasio na uwezo ,either walilewa malezi mazuri au mabovu wote wakifika chuo wanakuwa malaya.
 
But ukweli ni kuwa 95% ya mabinti wote walio na uwezo kiuchumi na wasio na uwezo .either walilewa malezi mazuri au mabovu wote wakifika chuo wanakuwa malaya.
 
Sure mzee. Kwa sasa wanawake wamepewa unlimited freedom kwaiyo ni suala la kuwapa taadhari tu mengine wajiongoze wenyewe. Mimi nina mdogo angu wa kike namjua dogo anaempelekea moto lakini siwezi nikawaingilia ukizingaria wote ni watu wazima. Nitachukua hatua nikiona mdogo angu anapelekwa kwenye mkumbo mbaya.
 
Kiongozi fanya hivi, kaa nae chini mpe darasa kuhusu lifestyle ya chuo kwa ujumla wake. Pia hakikisha awe anaenda chuo akitokea nyumbani au kama chuo kipo mbali na nyumbani, basi atokee nyumbani kwa ndugu wa karibu na chuo. Hakikisha hakai Hostel, zungumza nae mala kwa mala kuhusu lifestyle ya chuo. Ni mtazamo tu, pia ni neno sio sheria.

Mwisho, za kuambiwa changanya na zako.
 
Akitoboa sana ni miezi 3 ya mwanzoni, baada ya hapo vijana wa hovyo lazma wamkamie tu.😂😂😂! Akifika mwaka wa pili anakuwa nguli wa Shisha.
 
Mkuu,
Kuna Topic inaitwaga

""LIFE SKILLS""

Humo ndani Kuna skills mbali mbali za kumuwezesha kijana kushinda odds za Maisha ya chuoni na ku graduate vyema..

Hofu ya mungu, nidhamu binafsi na awareness Ni nguzo muhimu Sanaa 😊
Mdogo angu very beautiful mzee alimpendaga Sanaa na amesoma shule nzuri nzuri na kufaulu vizuri mzee alipo fika elimu ya juu na akiwa mwaka wa kwanza alipata bwana engineer akapata ujauzito bila taarifa na aka postpone masomo kwa kua alipata mtu MZURI na supportive kwake mwaka huu ana graduate hapo chuo kikuu namba moja Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…