Mdomo unaponza sana Tanzania, hii nchi haihitaji uwe kiherehere

Mdomo unaponza sana Tanzania, hii nchi haihitaji uwe kiherehere

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Tanzania hii ukiwa kiherehere kuingilia shughuli za watu lazima upotee. Kuna wale wanaojiita eti wanapigania haki hahahaha hivi haki inapiganiwa kwa mdomo! Ndio maana mtaendelea kutupwa ufukweni sababu ni viherehere kuingiliwa mingo za watu

Ukitaka kuishi kwa amani hapa Tanzania ni kutafuta hela na kuishi maisha yako usijiingize kwenye mambo yanaitwa siasa

Mdomo unaponza mwisho wa siku unakutwa pori la katavi au pembeni ya ufukwe wa bahari unaelea kama samaki.
 
Tanzania hii ukiwa kiherehere kuingilia shughuli za watu lazima upotee Kuna wale wanajiita eti wanapigania haki hahahaha hivi haki inapiganiwa Kwa mdomo ndio maana mtandelea kupotezwa sababu ni viherehere kuingiliwa mingo za watu ukitaka kuishi Kwa amani hapa tanzania ni kutafuta hela na kuishi maisha Yako usijiingize kwenye mambo yanaitwa siasa mdomo unaponza mwisho wa siku unakutwa pembeni ya ufukwe wa bahari
Waliotunga hiyo sheria na katiba ya kuruhusu hayo walikuwa wajinga? Hawana alikili?
 
Tanzania hii ukiwa kiherehere kuingilia shughuli za watu lazima upotee. Kuna wale wanajiita eti wanapigania haki hahahaha hivi haki inapiganiwa k.wa mdomo ndio maana mtaendelea kutupwa ufukweni sababu ni viherehere kuingiliwa mingo za watu ukitaka kuishi kwa amani hapa Tanzania ni kutafuta hela na kuishi maisha yako usijiingize kwenye mambo yanaitwa siasa

Mdomo unaponza mwisho wa siku unakutwa pembeni ya ufukwe wa bahari.
wanasema wanapigania uhuru sijui uhuru wa nani anayetawaliwa nchi iko huru we unaleta mdomo eti natafuta uhuru yaani unashindwa kutafuta hela unaanza mambo yasiyo na maana unauweka rehan uhai wako?
 
Jambo n moja tuu, kujitoa mhanga na mabomu huku umemkumbatia kiongozi unayemuona anazingua ufe nae kiume na sio kujifanya mharakati wa mitandaoni.
 
Kupigania haki ni kuwa kiherehere?

Wapigania haki et lazima wapotezwe?

Kuishi vizuri hapa Tanzania ni kutafuta hela, utawezaje kutafuta hela katika mazingira yasiyo ya haki?

Watekaji hawajatoa orodha wala sababu za utekaji so usiamini kuwa wewe uko salama kiasi hicho!
Ndiyo unaweza kuwa salama, Je, ndugu, jamaa, rafiki au familia yako!?
Kweli watu wamepoteza uwezo wa kufikiri.
 
Jambo n moja tuu, kujitoa mhanga na mabomu huku umemkumbatia kiongozi unayemuona anazingua ufe nae kiume na sio kujifanya mharakati wa mitandaoni.
Hahahaha yaani eti unapigania haki Kwa mdomo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom