Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Tanzania hii ukiwa kiherehere kuingilia shughuli za watu lazima upotee. Kuna wale wanaojiita eti wanapigania haki hahahaha hivi haki inapiganiwa kwa mdomo! Ndio maana mtaendelea kutupwa ufukweni sababu ni viherehere kuingiliwa mingo za watu
Ukitaka kuishi kwa amani hapa Tanzania ni kutafuta hela na kuishi maisha yako usijiingize kwenye mambo yanaitwa siasa
Mdomo unaponza mwisho wa siku unakutwa pori la katavi au pembeni ya ufukwe wa bahari unaelea kama samaki.