Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

Tatizo huko zenji ndani ndani akienda DC wa sampuli ya Jerry Muro anarudi akiwa hana marinda kabisa
 
Hugo zena ni m Zanzibar..
 
Nyerere kweli alibug step.Muungano gani huu ?
 
Mdude kuna mambo mengine kweli anazingua lakini kwa hili Yuko sawa kabisa, wazanzibari ni wabaguzi sana mbona katika mikoa au wilaya za Zanzibar hakuna watanganyika? Huu Muungano uvunjike tu
 
Mdude kuna mambo mengine kweli anazingua lakini kwa hili Yuko sawa kabisa, wazanzibari ni wabaguzi sana mbona katika mikoa au wilaya za Zanzibar hakuna watanganyika? Huu Muungano uvunjike tu
Wishful thinking...Muungano uvunjike kabisa kwa sababu hakuna mtanzania bara kwenye uongozi wa wilaya za Zanzibar?
 
Mtu kama familia yake ilikuwa Ina pemba na ikahamia Tanga na baada ya miaka 6 akazaliwa yeye familia ikiwa tanga, je atatambuliwa kama ni mzaliwa wa pemba au tanga?
 
Muhandis Zena ni mzanzibar na ni kweli haya mambo yanafikirisha sana.

Kule Zanzibar achilia mbali nafas za kuteuliwa hata ajira za kawaida kwa mtanganyika huko ni shida
 
Wazanzibari tumeshawazoea. Wenyewe siku zote ni waumini wa ule msemo wa changu changu, chako changu.

Kiukweli hawa jamaa ifikie wakati wajitawale tu, ili na sisi Watanganyika tupumue.

Zanzibar haitakuwi kuwa huru hata dakika moja.Bado ni koloni la Tanganyika Karume aligusa muungano yakamfikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Aboud jumbe aligusa muungano yakamfikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Njelukasaka aligusa muungano yakamfika πŸ˜‚πŸ˜‚

Kila aliyegusa muungano yalimfika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…