Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

Tatizo huko zenji ndani ndani akienda DC wa sampuli ya Jerry Muro anarudi akiwa hana marinda kabisa
 
Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.

Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.

Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.

Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?

Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Hugo zena ni m Zanzibar..
 
Yaani wewe huoni huu muungano umejaa hila na ghilba nyingi.Mzanzibar anaweza kuwa DED,DC,RAS,RC au hata Waziri katika Wizara ambazo si za muungano Mtanganyika hawezi kupewa hata ubalozi wa nyumba kumi.

Kibaya zaidi Mtanganyika hawezi kumiliki ardhi huko nchi ya watu wa Zanzibar lakini wakija huku wanajinyakulia tu kama nchi hii aina mwenyewe.

Kwa taarifa yako Eng Zena ni Mzanzibar 100%.
Nyerere kweli alibug step.Muungano gani huu ?
 
Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.

Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.

Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.

Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?

Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Mdude kuna mambo mengine kweli anazingua lakini kwa hili Yuko sawa kabisa, wazanzibari ni wabaguzi sana mbona katika mikoa au wilaya za Zanzibar hakuna watanganyika? Huu Muungano uvunjike tu
 
Wishful thinking...Muungano uvunjike kabisa kwa sababu hakuna mtanzania bara kwenye uongozi wa wilaya za Zanzibar?
 
Yaani wewe huoni huu muungano umejaa hila na ghilba nyingi.Mzanzibar anaweza kuwa DED,DC,RAS,RC au hata Waziri katika Wizara ambazo si za muungano Mtanganyika hawezi kupewa hata ubalozi wa nyumba kumi.

Kibaya zaidi Mtanganyika hawezi kumiliki ardhi huko nchi ya watu wa Zanzibar lakini wakija huku wanajinyakulia tu kama nchi hii aina mwenyewe.

Kwa taarifa yako Eng Zena ni Mzanzibar 100%.
Mtu kama familia yake ilikuwa Ina pemba na ikahamia Tanga na baada ya miaka 6 akazaliwa yeye familia ikiwa tanga, je atatambuliwa kama ni mzaliwa wa pemba au tanga?
 
Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.

Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.

Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.

Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?

Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Muhandis Zena ni mzanzibar na ni kweli haya mambo yanafikirisha sana.

Kule Zanzibar achilia mbali nafas za kuteuliwa hata ajira za kawaida kwa mtanganyika huko ni shida
 
Wazanzibari tumeshawazoea. Wenyewe siku zote ni waumini wa ule msemo wa changu changu, chako changu.

Kiukweli hawa jamaa ifikie wakati wajitawale tu, ili na sisi Watanganyika tupumue.

Zanzibar haitakuwi kuwa huru hata dakika moja.Bado ni koloni la Tanganyika Karume aligusa muungano yakamfika😂😂😂

Aboud jumbe aligusa muungano yakamfika😂😂😂

Njelukasaka aligusa muungano yakamfika 😂😂

Kila aliyegusa muungano yalimfika 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom