Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.

Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.

Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.

Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?

Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
kama hujui tulia. Zena ni Mzanzibar. Kwa mujibu wa katibu yetu, mtu wa kutoka Tanzania bar haruhusiwi kuajiriwa Zanzibar katika ajira rasmi na haruhusiwi kumili ardhi Zanzibar isipokuwa anweza kupewa kama muwekezaji sawa na wawekezaji toka nchi zingine. Ila Katiba inaruhusu Mzanzibar kuajiriwa upande wa pili wa muungano na anaruhusiwa kumiliki ardhi huku bara. Hata kuwa kiongozi huku bara anaruhusiwa ndo maana Husein Mwinyi aliwahi kuwa Mbunghe wa Mkuranga Pwani na zena kuwa Katibu Mkuu katika wizara isiyo ya muungano. kabla hapo alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Tanga.

Kwa ufupi Katiba yetu ina mambo mengi ambayo yamekaa shaghalabala.
 
Zanzibar haitakuwi kuwa huru hata dakika moja.Nikoloni la Tanganyika.
Karume alita

Zanzibar haitakuwi kuwa huru hata dakika moja.Bado ni koloni la Tanganyika Karume aligusa muungano yakamfika😂😂😂

Aboud jumbe aligusa muungano yakamfika😂😂😂

Njelukasaka aligusa muungano yakamfika 😂😂

Kila aliyegusa muungano yalimfika 😂😂😂😂😂

Huwa naona ni kama muungano wa matambiko. Uko kishirikina zaidi.
 
Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.

Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.

Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.

Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?

Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Bro umeandika nini?
 
Huyu n mjinga wa kupuuzwa. Mkuu wa wilqya magharibi A susaz kunambi, mkuu wa wilaya ya kati Medina Joel Thomas, Meneja mkurugenzi PBZ, Mkurugenzi ZBS na ZRA( ZRB) hao wote ni Watanganyika na hawana wazee znz. Zena katibu mkuu kiongozi. Babu yake ndiyo.alikimbia Pemba lakini yeye kazaliwa tanga na hajawahi kutumikia Seriki ya znz. Ali Hassan Mwinyi amekuja znz ana miaka 10 na amechauliwa kuwa raising wa Zanzibar, Aboud Kumbe Mwinyi kwao ni.mji mwema na amekuwa rais wa znz. Sasa huyo.mdude mpuuzi. Na ako wakurugenzi wa wa wizara wengi sana baba zao wana asili ya Tanganyika na hivi sasa viongozi. Kwani mnasema Zena siyo.mtanganyika kwa sababu babu zake wana asili ya kizanzibar. . Hayo.madai yenu yq katiba mpya yataonekana ni upuuzi wa sabau mnazozitoa. Eti chakuna kimepanda bei na suluhisho lake katoba mpya!!
 
Msiwe wachawa. Jiridhisheni na mnayoleta humu. Mtanganyika haruhusuwi kumiliki hata ardhi Zanzibar maana siyo wa nchi ile kama ambavyo hapa kwetu Mkenya hatakiwi kumiliki ardhi. Kazi hawaruhusi isipokuwa ajira za sekta binafsi na sekta isiyo rasmi.
 
Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.

Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.

Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.

Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?

Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Aliyekuambia Mhandisi Zena ni wa bara nani.Mme wake ndiye mtu wa bara lakini yeye asili yake ni Pemba
 
Tumieni akili acheni uvivu, ile ni serikali ya Zanzibar, hii ni serikali ya muungano. Ndiyo maana mlishindwa hisabati mapema sana. This is simple logic.
katia huu Muungano kuna masuala ya muunano, yanajuliana suala la serikali za mitaa halipo kwenye masuala ya Muungano, wewe ndio unatakiwa utumie akili
 
Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.

Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.

Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.

Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?

Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Unauhakika huyo ni mtanganyika?
 
Back
Top Bottom