Mdude CHADEMA: Tunaiandikia FIFA barua ili Simba ifungiwe kwa kujihusisha na siasa

Hii mipira ya bongo ipo kwa ajili ya kuharibu vijana na sio kuleta ubunifu kwenye michezo
.
 
ajiangalie, asijekutumia muda wake wote alioishi katika dunia yeye ni mpira mara siasa huku vijana wengi wa kiislam hata kuswali hawaswali lakini kwake hilo anaona sio jukumu lake kuwaambia waingie msikitini
Wewe uko msikitini ukiwa unachati JF, si bora ungeendelea kumalizia KVANT yako uliyoiacha pale bar?
 
Watu kibao waliikacha tbc kwa sababu hizo

Huyo Ahmed anataka uchawa tu mpira ameona haumlipi
 
Magufuli aliwahi kuwa na nia ya kuzifuta timu za Simba na Yanga maana zinawapumbaza watanzania.

Inatakiwa atokee rais mwingine aje kuzifuta hizi timu zisiwepo kabisa .
Hizi team ni kweli ni za hovyo
 
ajiangalie, asijekutumia muda wake wote alioishi katika dunia yeye ni mpira mara siasa huku vijana wengi wa kiislam hata kuswali hawaswali lakini kwake hilo anaona sio jukumu lake kuwaambia waingie msikitini
Msikitini ukiingia ww inatosha
 
Angesema watu wajiunge na bavicha angekuja na kelele za kusema sasa wananchi wanaanza kufunguka hadharani ๐Ÿ˜‚
 
Msemaji mkuu wa Simba mh Ahmed Ally amewataka Vijana wote nchini kujiunga UVCCM

Ahmed Ally amesema Vijana waliojiunga UVCCM watembee Vifua mbele kwa kufanya Maamuzi sahihi kabisa Kwenye maisha yao

Source: Wasafi media
Kama vijana wenyewe ndio hao safari bado ni ndefu. Najiuliza ingekuwa kipindi chankutafuta uhuru hawa sindio wale vijana wangekuwa chawa wa mkoloni hopeless kabisa
 
Sasa ni Simba ama Ahmed ndio kajihusisha na siasa?!
Yeye ni muajiriwa tu, ana maisha binafsi.

Ingelikuwa Simba kwenye mechi wameingia na mabango kuhamasisha siasa hapo kuna mashiko.
Sasa unapoteza mda kumuelimisha mtu kama mdude atakuelewa kwelii? Au humfaham?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ