Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdude Nyagali ambaye ni Mwanaharaati wa CHADEMA ameonekana kukerwa na kitendo cha Ahmed Ally Meneja mawasiliano wa Simba kuwataka wananchi kuipigia kura CCM. Kupitia ukurasa wake Rasmi wa X Mdude anmeandika haya:
Kazi ndogo hii, tunaiamdikia barua FIFA na CAF na kuweka ushahidi wa video na maandishi. Na katika barua hiyo tutawataka wapitie ushahidi kujiridhisha halafu wachukue hatua kuifungia Tanzania na Simba kwenye masuala yote ya mpira. Tukifingiwa mpira akili zitawarudi
View attachment 3035112
Video ya Ahmed Ally
Wewe ni ndezi mkubwa zaidichadema mandezi kweli nyie
Wewe uko msikitini ukiwa unachati JF, si bora ungeendelea kumalizia KVANT yako uliyoiacha pale bar?ajiangalie, asijekutumia muda wake wote alioishi katika dunia yeye ni mpira mara siasa huku vijana wengi wa kiislam hata kuswali hawaswali lakini kwake hilo anaona sio jukumu lake kuwaambia waingie msikitini
Watu kibao waliikacha tbc kwa sababu hizoHapo namuunga mkono mdude , na kuanzia Leo sitaishabikia Simba tena na kufuatilia mpira wa bongo naacha , Wala sitasoma habari ya mpira yeyote inayohusu timu za bongo,
Nina miaka zaid ya tisa Sasa sijasikiliza redio na kufuatilia clouds sababu ya kuwa biased kisiasa,
Wazee tumuumge mkono mdude katika Ili jambo.
Hizi team ni kweli ni za hovyoMagufuli aliwahi kuwa na nia ya kuzifuta timu za Simba na Yanga maana zinawapumbaza watanzania.
Inatakiwa atokee rais mwingine aje kuzifuta hizi timu zisiwepo kabisa .
Msikitini ukiingia ww inatoshaajiangalie, asijekutumia muda wake wote alioishi katika dunia yeye ni mpira mara siasa huku vijana wengi wa kiislam hata kuswali hawaswali lakini kwake hilo anaona sio jukumu lake kuwaambia waingie msikitini
Ni kukosa exposureAhmed Ally hapo kazingua sana.
😂😂😂Wewe uko msikitini ukiwa unachati JF, si bora ungeendelea kumalizia KVANT yako uliyoiacha pale bar?
Hehehee.....tumuonee tu huruma.Mbona nilimuona na Hashim Ibwe 😀
Watu wanatafuta maisha jamani daah,plus teuzi
muwe mnafikiria basi kidogo sio mnaburuzwa tu ametumia nembo ya simba kuhamasisha!Mdude Yuko sawa kabisa , unachanganyaje mpira na siasa
Usiwe mjinga jielimishe mambo muhimi ya kitaifa na kimataifaMdude ashakuwa mwenda wazimu awahi mirembe!
Kama vijana wenyewe ndio hao safari bado ni ndefu. Najiuliza ingekuwa kipindi chankutafuta uhuru hawa sindio wale vijana wangekuwa chawa wa mkoloni hopeless kabisaMsemaji mkuu wa Simba mh Ahmed Ally amewataka Vijana wote nchini kujiunga UVCCM
Ahmed Ally amesema Vijana waliojiunga UVCCM watembee Vifua mbele kwa kufanya Maamuzi sahihi kabisa Kwenye maisha yao
Source: Wasafi media
ndezi wewe nawazazi wako☹️☹️☹️Wewe ni ndezi mkubwa zaidi
ThubutuAngesema watu wajiunge na bavicha angekuja na kelele za kusema sasa wananchi wanaanza kufunguka hadharani 😂
Sasa unapoteza mda kumuelimisha mtu kama mdude atakuelewa kwelii? Au humfaham?Sasa ni Simba ama Ahmed ndio kajihusisha na siasa?!
Yeye ni muajiriwa tu, ana maisha binafsi.
Ingelikuwa Simba kwenye mechi wameingia na mabango kuhamasisha siasa hapo kuna mashiko.