Mdude CHADEMA: Tunaiandikia FIFA barua ili Simba ifungiwe kwa kujihusisha na siasa

Mdude CHADEMA: Tunaiandikia FIFA barua ili Simba ifungiwe kwa kujihusisha na siasa

Hii mipira ya bongo ipo kwa ajili ya kuharibu vijana na sio kuleta ubunifu kwenye michezo
.
Mdude Nyagali ambaye ni Mwanaharaati wa CHADEMA ameonekana kukerwa na kitendo cha Ahmed Ally Meneja mawasiliano wa Simba kuwataka wananchi kuipigia kura CCM. Kupitia ukurasa wake Rasmi wa X Mdude anmeandika haya:

Kazi ndogo hii, tunaiamdikia barua FIFA na CAF na kuweka ushahidi wa video na maandishi. Na katika barua hiyo tutawataka wapitie ushahidi kujiridhisha halafu wachukue hatua kuifungia Tanzania na Simba kwenye masuala yote ya mpira. Tukifingiwa mpira akili zitawarudi

View attachment 3035112
Video ya Ahmed Ally
 
ajiangalie, asijekutumia muda wake wote alioishi katika dunia yeye ni mpira mara siasa huku vijana wengi wa kiislam hata kuswali hawaswali lakini kwake hilo anaona sio jukumu lake kuwaambia waingie msikitini
Wewe uko msikitini ukiwa unachati JF, si bora ungeendelea kumalizia KVANT yako uliyoiacha pale bar?
 
Hapo namuunga mkono mdude , na kuanzia Leo sitaishabikia Simba tena na kufuatilia mpira wa bongo naacha , Wala sitasoma habari ya mpira yeyote inayohusu timu za bongo,
Nina miaka zaid ya tisa Sasa sijasikiliza redio na kufuatilia clouds sababu ya kuwa biased kisiasa,
Wazee tumuumge mkono mdude katika Ili jambo.
Watu kibao waliikacha tbc kwa sababu hizo

Huyo Ahmed anataka uchawa tu mpira ameona haumlipi
 
Magufuli aliwahi kuwa na nia ya kuzifuta timu za Simba na Yanga maana zinawapumbaza watanzania.

Inatakiwa atokee rais mwingine aje kuzifuta hizi timu zisiwepo kabisa .
Hizi team ni kweli ni za hovyo
 
ajiangalie, asijekutumia muda wake wote alioishi katika dunia yeye ni mpira mara siasa huku vijana wengi wa kiislam hata kuswali hawaswali lakini kwake hilo anaona sio jukumu lake kuwaambia waingie msikitini
Msikitini ukiingia ww inatosha
 
Angesema watu wajiunge na bavicha angekuja na kelele za kusema sasa wananchi wanaanza kufunguka hadharani 😂
 
Msemaji mkuu wa Simba mh Ahmed Ally amewataka Vijana wote nchini kujiunga UVCCM

Ahmed Ally amesema Vijana waliojiunga UVCCM watembee Vifua mbele kwa kufanya Maamuzi sahihi kabisa Kwenye maisha yao

Source: Wasafi media
Kama vijana wenyewe ndio hao safari bado ni ndefu. Najiuliza ingekuwa kipindi chankutafuta uhuru hawa sindio wale vijana wangekuwa chawa wa mkoloni hopeless kabisa
 
Sasa ni Simba ama Ahmed ndio kajihusisha na siasa?!
Yeye ni muajiriwa tu, ana maisha binafsi.

Ingelikuwa Simba kwenye mechi wameingia na mabango kuhamasisha siasa hapo kuna mashiko.
Sasa unapoteza mda kumuelimisha mtu kama mdude atakuelewa kwelii? Au humfaham?
 
Back
Top Bottom