PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yaani hao police wakijisikia tu kupiga na kuteka, wanavamia tu na kuvunja milango ya watu wasio na hatia. Mdude amekosa nini? Uonevu tu nchi hii, huyo mama ameshanogewa na kutesa na kuua.
πŸ€”πŸ€•πŸ€«πŸ€
 
Idea safi sana hii.
Vikundi vya kujilinda virejeshwe haraka.
Sasa ikiwa mwamposa au mpuuzi kama zumaridi wana walinzi wa kuwalinda karibu 10@.....hawa hawashei interest yeyote na Serikali au bepari yeyote lakini wameona kuna haja hiyo.
 
πŸ€” βœοΈπŸ‘πŸ€πŸ™
 
chiembe na ChoiceVariable watapata hizo dhambi
 
Yaani police wanavunja mpaka milango. Hii nchi sijui inaelekea wapi...!? Halafu kuna watu wanazungumxia amani ... hivi ni amani gani hiyo? Nchi ina amani lakini raia wake hawana amani....!!
Hapa kwa po-li-ce hapa kuna tatizo la kiwango cha elimu dunia, majority n form 4 failures. ,huwezi tenganisha elimu yao na maamuzi ya hovyo wanayofanya. Nilikua nawaza kwa sauti kwa nn kiwango cha elimu au kigezo mojawapo chs kujiunga na hili jeshi ianzie na elimu ya Diploma na kuendelea.
 
Katika nchi watu wanatofautiana tabia:
Huwezi kuwalazimisha watu wote wawe na tabia unazozipenda wewe:
Kwakuwa hata wewe una tabia ambazo wengine hawazipendi:
πŸ€”βœοΈπŸ‘πŸ€πŸ™
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hapa kwa police hapa Mimi nahisi la elimu, ukiangalia viwango vya elimu dunia ya Hawa ndugu zetu plc, huwezi tenganisha na maamuzi ya hovyo wanayofanya. Nilitamani kuwe na kiwango cha juu mfano Diploma na kuendelea kwa mtu kuwa police.

Siyo elimu tu. Hawa wa kwetu wametumwa kufanya hivyo. Hao akina Murilo ni Wanasheria. Hata huko majuu milango huwa inavunjwa. Lakini huwa wanafanya hivyo kukiwa na kosa tena kubwa ambalo linahstarisha usalama. Kwetu wanafanya kwa kutisha raia.
 
πŸ™‹βœοΈπŸŽ―πŸ‘ŠπŸ‘ŒπŸ€πŸ™
 
I love this citation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…