LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Sitetei ila kumbuka China hawajafanya importation. Na wengi wa wakazi wake wanataarifa za uhakika za makazi ukilinganisha na huku tz.Mwaka 2010 China ilifanya Sensa na kutumia Yuan Milion 700, sawa na shilingi za kitanzania bilion 236 kwa exchange rate ya leo.
Lakini kinchi kidogo kama Tanzania ambacho ni kama jimbo moja tu la china kinafanya sensa kwa shilingi bilioni 629
Hapa kuna harufu ya wizi!
Sitetei ila kumbuka China hawajafanya importation. Na wengi wa wakazi wake wanataarifa za uhakika za makazi ukilinganisha na huku tz.
Mimi walinihesabu sehemu tofauti na hapa nilipo leo, ila kuna karani amefika hapa muda sio mrefu nimemskia anaongea na mdada wa kazi wa jirani yangu anamuambia dada wa kazi amtajie taarifa za hiyo nyumba...yani taarifa alizochukua ni jina la huyo dada, jina la mtoto aliyekuwa anacheza hapo nje na anuani ya nyumba, baada ya hapo akatembea mbele.na siyo hivo two baada ya kuona zoezi linafeli makarani dodoso nyingi wamejaza uongoo
This makes sense,hapa kuna uongo na kukwama kwa zoezi kukamilika kwa wakati.Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.
Wameshatafuna bilion 600+ na Kwa utafiti wangu mdogo zoezi limefeli na ndio maana hawatoi update tena kama wameshafikia watu wangapi kama ilivyokuwa mwanzo. Kitakachofuata ni kupika takwimu. Kwa hiyo pesa za tozo zitakuwa zimeliwa kwa staili hiyo. Ngoja tusubiri Siku ya mwisho.
View attachment 2339837
Sensa ya maKaratasi siku moja ya kidigital na software kibao siku 7?Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.
Wameshatafuna bilion 600+ na Kwa utafiti wangu mdogo zoezi limefeli na ndio maana hawatoi update tena kama wameshafikia watu wangapi kama ilivyokuwa mwanzo. Kitakachofuata ni kupika takwimu. Kwa hiyo pesa za tozo zitakuwa zimeliwa kwa staili hiyo. Ngoja tusubiri Siku ya mwisho.
View attachment 2339837
Hata kama wanamuona Mdude aliathirika na mbu wa jela lakini hapa kaongea pointiThis makes sense,hapa kuna uongo na kukwama kwa zoezi kukamilika kwa wakati.
Programme kama hizi huwa zinatumika kufanya upigaji tena wa kidola..Hata kama wanamuona Mdude aliathirika na mbu wa jela lakini hapa kaongea pointi
Uko sahihi na mimi nimekuwa nikikuunga mkono.Programme kama hizi huwa zinatumika kufanya upigaji tena wa kidola..
Mimi ni mtetezi mkubwa wa mipango ya Serikali ila kwa hili inatakiwa maelezo yaliyojitosheleza siwezi kulielezea.
Serikali itoe taa rasmi ya matumizi ya bil.600 kwenye sensa.
Naona wajinga mnajadilianaUko sahihi na mimi nimekuwa nikikuunga mkono.
Sisi wachache tunaopwenda haki na maendeleo kwa taifa lake tusichoke kusema.
Kama ulivyo comment kwenye majadiliano ya wajinga na wewe ni mmoja waoNaona wajinga mnajadiliana
Jamani mi navuja jasho kipato kidogo nimejiwekea akiba ten kwenye cmu nikitaka kutoa wamekata parefu,mtoto shule ya kata ananitowa jasho halafu wengine wanapiga mihela tu inatia hasira.Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.
Wameshatafuna bilion 600+ na Kwa utafiti wangu mdogo zoezi limefeli na ndio maana hawatoi update tena kama wameshafikia watu wangapi kama ilivyokuwa mwanzo. Kitakachofuata ni kupika takwimu. Kwa hiyo pesa za tozo zitakuwa zimeliwa kwa staili hiyo. Ngoja tusubiri Siku ya mwisho.
View attachment 2339837
Mdude naye naona hana akili tu...hizi siku saba ni kwaajili ya sensa ya majengo.Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.
Wameshatafuna bilion 600+ na Kwa utafiti wangu mdogo zoezi limefeli na ndio maana hawatoi update tena kama wameshafikia watu wangapi kama ilivyokuwa mwanzo. Kitakachofuata ni kupika takwimu. Kwa hiyo pesa za tozo zitakuwa zimeliwa kwa staili hiyo. Ngoja tusubiri Siku ya mwisho.
View attachment 2339837
Acha kumtisha mwenzio.Kuna uhuru wa kuongea lakini hakuna Uhuru wa kuwa huru baada yakuongea note this.
Wewe ndiye mjinga.Mdude naye naona hana akili tu...hizi siku saba ni kwaajili ya sensa ya majengo.
Ujinga ni mzigo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
ndo hivo wameona mda unawaacha ikabidi wachangamkeMimi walinihesabu sehemu tofauti na hapa nilipo leo, ila kuna karani amefika hapa muda sio mrefu nimemskia anaongea na mdada wa kazi wa jirani yangu anamuambia dada wa kazi amtajie taarifa za hiyo nyumba...yani taarifa alizochukua ni jina la huyo dada, jina la mtoto aliyekuwa anacheza hapo nje na anuani ya nyumba, baada ya hapo akatembea mbele.
Mwerevu huwaona na kuwarekebisha wajinga. Ila nyie ni wajinga zaidiKama ulivyo comment kwenye majadiliano ya wajinga na wewe ni mmoja wao
Nasema hivi sababu lawama Kila siku kwa Samia wakati sisi wananchi tuna platform ya maamuzi ambayo ni bunge, ona US kipindi cha Trump au Kenya walidhibitiwa sana na bunge + mahakama maana ndio sauti ya wananchi.Unashangaza, unakiri bunge limeshindwa kufanya kazi yake halafu hautaki Rais alaumiwe, sasa unataka tufanyeje?! au tuzubae tu hapo!.
Kwanini Rais analaumiwa?
1. Yeye ndie huwaweka sehemu kubwa ya hao watendaji wanaoharibu, hivyo anaweza pia kuwaondoa kisheria.
2. Rais ni sehemu ya bunge, hivyo ana uwezo wa kuinfluence anachotaka kikafanywe na bunge lakini hafanyi hivyo, hii nayo ipo kisheria.
3. Rais ana uwezo wa kulivunja bunge lisipofanya vile anataka, hii maana yake Rais yupo juu ya bunge.
Kaisome Katiba ya JMT uone mamlaka ya kimalkia aliyopewa Samia na Katiba ya 1977.
Hii tabia yenu ya kumkwepesha Rais na majukumu yake nawaona wengi wenu mna lengo la kumfichia udhaifu wake tu, nothing else.
Mbona nimesema hapo maazimio ya bunge kufikisha watuhumiwa kwenye vyombo vya sheria whether Takukuru, DCI, Mahakama n.kWaziri akijiuzulu then nini kinabadilika?
Lianzishe basi wewe "key board warrior"Tutazidi kulalamika kila siku na kufungua thread kila uchwao pasi kuchukua atua stahiki hakika taifa hili lina kwenda shimoni huu ni wizi wa wazi wazi kabisa na kwa sababu Watanzania hatuna uchungu na pesa za umma acha waibe maana chama kimejaa wezi nani atasimama kumsema mwenzake? Mwisho ina kuwa Kama day dream tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app