Mdude Nyagali: Bil 600 zimekwapuliwa huku makarani wakinyimwa posho na bado zoezi halijakamilika kwa wakati

Mwaka 2010 China ilifanya Sensa na kutumia Yuan Milion 700, sawa na shilingi za kitanzania bilion 236 kwa exchange rate ya leo.
Lakini kinchi kidogo kama Tanzania ambacho ni kama jimbo moja tu la china kinafanya sensa kwa shilingi bilioni 629

Hapa kuna harufu ya wizi!
Sitetei ila kumbuka China hawajafanya importation. Na wengi wa wakazi wake wanataarifa za uhakika za makazi ukilinganisha na huku tz.
 
na siyo hivo two baada ya kuona zoezi linafeli makarani dodoso nyingi wamejaza uongoo
Mimi walinihesabu sehemu tofauti na hapa nilipo leo, ila kuna karani amefika hapa muda sio mrefu nimemskia anaongea na mdada wa kazi wa jirani yangu anamuambia dada wa kazi amtajie taarifa za hiyo nyumba...yani taarifa alizochukua ni jina la huyo dada, jina la mtoto aliyekuwa anacheza hapo nje na anuani ya nyumba, baada ya hapo akatembea mbele.
 
Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.

Wameshatafuna bilion 600+ na Kwa utafiti wangu mdogo zoezi limefeli na ndio maana hawatoi update tena kama wameshafikia watu wangapi kama ilivyokuwa mwanzo. Kitakachofuata ni kupika takwimu. Kwa hiyo pesa za tozo zitakuwa zimeliwa kwa staili hiyo. Ngoja tusubiri Siku ya mwisho.

View attachment 2339837
This makes sense,hapa kuna uongo na kukwama kwa zoezi kukamilika kwa wakati.
 
Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.

Wameshatafuna bilion 600+ na Kwa utafiti wangu mdogo zoezi limefeli na ndio maana hawatoi update tena kama wameshafikia watu wangapi kama ilivyokuwa mwanzo. Kitakachofuata ni kupika takwimu. Kwa hiyo pesa za tozo zitakuwa zimeliwa kwa staili hiyo. Ngoja tusubiri Siku ya mwisho.

View attachment 2339837
Sensa ya maKaratasi siku moja ya kidigital na software kibao siku 7?
 
Hata kama wanamuona Mdude aliathirika na mbu wa jela lakini hapa kaongea pointi
Programme kama hizi huwa zinatumika kufanya upigaji tena wa kidola..

Mimi ni mtetezi mkubwa wa mipango ya Serikali ila kwa hili inatakiwa maelezo yaliyojitosheleza siwezi kulielezea.

Serikali itoe taa rasmi ya matumizi ya bil.600 kwenye sensa.
 
Uko sahihi na mimi nimekuwa nikikuunga mkono.

Sisi wachache tunaopwenda haki na maendeleo kwa taifa lake tusichoke kusema.
 
Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.

Wameshatafuna bilion 600+ na Kwa utafiti wangu mdogo zoezi limefeli na ndio maana hawatoi update tena kama wameshafikia watu wangapi kama ilivyokuwa mwanzo. Kitakachofuata ni kupika takwimu. Kwa hiyo pesa za tozo zitakuwa zimeliwa kwa staili hiyo. Ngoja tusubiri Siku ya mwisho.

View attachment 2339837
Jamani mi navuja jasho kipato kidogo nimejiwekea akiba ten kwenye cmu nikitaka kutoa wamekata parefu,mtoto shule ya kata ananitowa jasho halafu wengine wanapiga mihela tu inatia hasira.
 
Kuna mambo mengine yanashangaza sana ,siku ya kwanza walisema wamewafikia 15% then wakaja kusema wamewafiki 93% kama wanajua idadi ya waliowafikia inakuwaje wawahesabu tena? Utawekaje % bila kujua proportional yake? Hapa tumepigwa.
 
Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.

Wameshatafuna bilion 600+ na Kwa utafiti wangu mdogo zoezi limefeli na ndio maana hawatoi update tena kama wameshafikia watu wangapi kama ilivyokuwa mwanzo. Kitakachofuata ni kupika takwimu. Kwa hiyo pesa za tozo zitakuwa zimeliwa kwa staili hiyo. Ngoja tusubiri Siku ya mwisho.

View attachment 2339837
Mdude naye naona hana akili tu...hizi siku saba ni kwaajili ya sensa ya majengo.

Ujinga ni mzigo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mimi walinihesabu sehemu tofauti na hapa nilipo leo, ila kuna karani amefika hapa muda sio mrefu nimemskia anaongea na mdada wa kazi wa jirani yangu anamuambia dada wa kazi amtajie taarifa za hiyo nyumba...yani taarifa alizochukua ni jina la huyo dada, jina la mtoto aliyekuwa anacheza hapo nje na anuani ya nyumba, baada ya hapo akatembea mbele.
ndo hivo wameona mda unawaacha ikabidi wachangamke
 
Unashangaza, unakiri bunge limeshindwa kufanya kazi yake halafu hautaki Rais alaumiwe, sasa unataka tufanyeje?! au tuzubae tu hapo!.

Kwanini Rais analaumiwa?

1. Yeye ndie huwaweka sehemu kubwa ya hao watendaji wanaoharibu, hivyo anaweza pia kuwaondoa kisheria.

2. Rais ni sehemu ya bunge, hivyo ana uwezo wa kuinfluence anachotaka kikafanywe na bunge lakini hafanyi hivyo, hii nayo ipo kisheria.

3. Rais ana uwezo wa kulivunja bunge lisipofanya vile anataka, hii maana yake Rais yupo juu ya bunge.

Kaisome Katiba ya JMT uone mamlaka ya kimalkia aliyopewa Samia na Katiba ya 1977.

Hii tabia yenu ya kumkwepesha Rais na majukumu yake nawaona wengi wenu mna lengo la kumfichia udhaifu wake tu, nothing else.
Nasema hivi sababu lawama Kila siku kwa Samia wakati sisi wananchi tuna platform ya maamuzi ambayo ni bunge, ona US kipindi cha Trump au Kenya walidhibitiwa sana na bunge + mahakama maana ndio sauti ya wananchi.

Kuendelea kulaumu Rais wakati chombo Chenye kazi ya "kumnyoosha" Rais kimeziba mdomo hakiwezi kutupeleka kokote.

Kwani nani hakujua Jk alikua dhaifu? Ila mbona bunge lilinyoosha sana mafisadi? Suluhisho tunalo ila tunazunguka zunguka tu!! Hatari nayoiona tukiweka hopes kwa Rais itafika 2030 wanatupa say Mwigulu kuwa Rais huku bungeni wamejaa mabubu unadhani unafuu utatoka wapi!!

Tuache kuangukia kwenye mitego ya CCM, wamefeli sio kwenye Urais tu hata bungeni na mabaraza ya madiwani.
 
Tutazidi kulalamika kila siku na kufungua thread kila uchwao pasi kuchukua atua stahiki hakika taifa hili lina kwenda shimoni huu ni wizi wa wazi wazi kabisa na kwa sababu Watanzania hatuna uchungu na pesa za umma acha waibe maana chama kimejaa wezi nani atasimama kumsema mwenzake? Mwisho ina kuwa Kama day dream tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Lianzishe basi wewe "key board warrior"
 
Back
Top Bottom