Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hela ni nyingi huko hazina kumbuka GePG system inawezesha 95% ya malipo ya serikali kuingia hazina. Iwe loss report, passport, leseni na kila kitu ambacho kinahusisha malipo ya serikali. Bado tozo zinaingiza hela nyingi mno wala sio 4OB kwa mwezi kama alivyodanganya bwana yule.Mwaka 2010 China ilifanya Sensa na kutumia Yuan Milion 700, sawa na shilingi za kitanzania bilion 236 kwa exchange rate ya leo.
Lakini kinchi kidogo kama Tanzania ambacho ni kama jimbo moja tu la china kinafanya sensa kwa shilingi bilioni 629
Hapa kuna harufu ya wizi!
Hapa ndio waTanzania tunafeli!! Wala shida sio ya Rais, shida ipo kwa Bunge wao ndio fimbo yetu dhidi ya serikali ila wameshindwa kazi Yao kuwa oversight.Sasa ni dhahiri huko serikalini kila mmoja anakula kwa urefu wa kamba yake, sijui kwanini Rais hakuwahi kuitolea ufafanuzi ile kauli.
Kwa wale mnaopenda kumlaumu Mdude "anatukana", naona hapo katumia neno vibaka, na kila anayekwapua jina lake ni either mwizi, au kibaka, hapo msimlaumu.
Hii nchi tuseme ukweli imemshinda Samia, matokeo ya kauli zake anazotoa bila kuzichuja naona ndio yametufikisha hapa.
Tuhuma za aina hii zinazidi kuongezeka kila siku, huku Mwigulu na tozo, pale sensa, kule Makamba na $30 million za maintanance, hawa anaowaita wanangu naona sasa wanamuibia mama yao.
Haya yasipochukuliwa hatua mapema ndio yanazidi kuongezeka, inaonekana na wengine nao wanaona kama yule alichota pale hakufanywa kitu, ngoja nami nichote hapa.
Matokeo yake Samia anapozidi kuchelewa ku-react anajikuta anashindwa kuwaadhibu kwa kuogopa kuonekana anawaonea wengine, na serikali yake ndio itazidi kuchafuka na kupoteza imani kwa watanzania, naona sasa tunarudi kule kwa JK.
Na kuna watu wanapenda kujiona malaika. Hawataki kuambiwa wakikosea!Kuna watu wanapenda jela
Tumejifunza kwa makosaHiki cheo cha Makamu wa Rais inabidi tuwe serious nacho
Waziri akijiuzulu then nini kinabadilika?Hapa ndio waTanzania tunafeli!! Wala shida sio ya Rais, shida ipo kwa Bunge wao ndio fimbo yetu dhidi ya serikali ila wameshindwa kazi Yao kuwa oversight.
Kipindi Cha Kikwete licha ya ufisadi kuwa mwingi but bunge lilifanya kazi yake kiasi kwamba mawaziri walikua wanalazimishwa kujiuzulu karibu Kila miezi 3!!
Ilipaswa suala kama sensa bunge iundie kamati, ifanye audit, na wahusika wote wawekewe maazimio ya kufikishwa kwenye vyombo vya sheria!!
Tukulaumu Rais itafika 2025 watatupa fisadi mwingine huku bunge likijaa wapiga meza tu!! Business as usual.
Hawa watu ni kulalamika kila kitu.Hizo pesa,zitakuwa kwenye mzunguko hapa hapa Tanzania,na zitamfikia mpaka huyo anayelalamika,bora asiwe mvivu wa kufanyakazi,biashara,kuajiriwa,kujiajiri nk.Mzunguko wa pesa ukikosekana mtaani mnaanza kulalamika
Usitegemee watakuwa na uchungu na pesa za umma wakati AKILI NA nguvu zinawaza SIMBA NA YANGA,NA KUBETTutazidi kulalamika kila siku na kufungua thread kila uchwao pasi kuchukua atua stahiki hakika taifa hili lina kwenda shimoni huu ni wizi wa wazi wazi kabisa na kwa sababu Watanzania hatuna uchungu na pesa za umma acha waibe maana chama kimejaa wezi nani atasimama kumsema mwenzake? Mwisho ina kuwa Kama day dream tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mimi hata kwangu wamekuja leo eti wanataka mita namba ya luku nikawaambia msinichosheUku mtaani kwetu mawakala wanahesabu mtu mmoja halafu anarudi home kucheki movie.
Samia ajiandaye kulifanya hili zoezi kwa mwexi mzima
Sikubaliani na shutuma anazotoa huyu mwehu mdude kwa serikali. Mdude ni mtu ambaye hana akili. Ila nakurekebisha sehemu mojaHawa watu ni kulalamika kila kitu.Hizo pesa,zitakuwa kwenye mzunguko hapa hapa Tanzania,na zitamfikia mpaka huyo anayelalamika,bora asiwe mvivu wa kufanyakazi,biashara,kuajiriwa,kujiajiri nk.
Fursa za kazi zipo nyingi sana,kwa mfano sehemu kunavuliwa samaki wa biashara,kuna vijana, wazee,wanawake,wanatengeneza pesa,wao wanakuwa ni madalali,baina ya mvuvi na mnunuzi wa jumla na rejareja,na wanapata kipato kizuri tu.Kwa mfano mvuvi anauza kilo 5000,dalali anamuuzia mwingine 7000,ni kutokana na huyu mnunuzi kushindwa kufuatilia samaki ndani ya maji,kuliko chombo cha uvuvi.Je akiuza kila 20 kwa siku,amepata karibia 40,000.
Hoja ya mdude ni mufilisi, Ila pia mzunguko wa peda hautokani na pesa kupigwa bali unatokana na uzalishaji. Hata raisi mwenyewe hawezi kukubali kuona pesa inaibiwa.Mzunguko wa pesa ukikosekana mtaani mnaanza kulalamika
Tatizo la nchi yetu ni ubovu wa mifumo ya utendaji kazi. Lakini kwanini rais analaumiwa? Ni kwa sababu kwa nchi zetu hizi za "shithole" rais ana nguvu kubwa ya ku influence na ku override mambo.Hapa ndio waTanzania tunafeli!! Wala shida sio ya Rais, shida ipo kwa Bunge wao ndio fimbo yetu dhidi ya serikali ila wameshindwa kazi Yao kuwa oversight.
Kipindi Cha Kikwete licha ya ufisadi kuwa mwingi but bunge lilifanya kazi yake kiasi kwamba mawaziri walikua wanalazimishwa kujiuzulu karibu Kila miezi 3!!
Ilipaswa suala kama sensa bunge iundie kamati, ifanye audit, na wahusika wote wawekewe maazimio ya kufikishwa kwenye vyombo vya sheria!!
Tukulaumu Rais itafika 2025 watatupa fisadi mwingine huku bunge likijaa wapiga meza tu!! Business as usual.
Jamaa kanichekesha yaani yeye kwake mzunguko wa pesa unatokana na pesa za umma kukwapuliwa. Haha ipo mambo!Hoja ya mdude ni mufilisi, Ila pia mzunguko wa peda hautokani na pesa kupigwa bali unatokana na uzalishaji. Hata raisi mwenyewe hawezi kukubali kuona pesa inaibiwa.
Akili Kama zako ndio zinapatikana huku shithole countries tu, mnaamini mzunguko wa pesa mtaani unatokana na pesa kuibwa badala ya uzalishaji