Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu.
Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba.
Hawa CCM na Vijana wao ombaomba wanafikiri kutoka kwako jela ni hisani ya Mama, eti umpigie magoti, ni mtu dhaifu pekee anaweza kufanya ujinga huo.
Siku ukiona wanaanza kukusufu kwa maneno matamu jua umekwishwa, watakuzodoa kwa style nyingine,
Mdude Shikilia hapo hapo usiachie, usipoe, itabidi tu wakuzoee.
Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba.
Hawa CCM na Vijana wao ombaomba wanafikiri kutoka kwako jela ni hisani ya Mama, eti umpigie magoti, ni mtu dhaifu pekee anaweza kufanya ujinga huo.
Siku ukiona wanaanza kukusufu kwa maneno matamu jua umekwishwa, watakuzodoa kwa style nyingine,
UMEUFYATA. na watakutolea mfano.Mdude Shikilia hapo hapo usiachie, usipoe, itabidi tu wakuzoee.