Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

Mngekuwa mnaamini katika uwezo wake, mgekuwa tayari mmempa nafasi huko CHADEMA. Hamuwezi kufany hivyo sababu mnajua ni liability, na toilet paper mnayoitumia tu chooni lakini huwezi kuileta sitting room kufutia sahani😀. Mnapata dhambi. Mdude alipata misuko suko muda mrefu hakuna watu walikuwa wanamjali. Walipoona kuna dalili ya kuachiliwa, mkaona hapa hapa tuchomoze tena, mnamtumia mnatupa huko. Mdude ni nobody ndani ya CHADEMA. Angelijua hilo angetulia
Shida yenu nyie Rangi ya Kabichi akili zenu zipo kwenye vyeo tu, gamuwezi kufanya kitu mpaka mpate vyeo, huo ni ulemavu wa akili, Mdude Shilikila hapo hapo dawa iwaingie.
 
Lissu na Mdude sio binadamu wa kawaida,hawakuumbwa kama tulivyoumbwa sisi wengine.
 
Shida yenu nyie Rangi ya Kabichi akili zenu zipo kwenye vyeo tu, gamuwezi kufanya kitu mpaka mpate vyeo, huo ni ulemavu wa akili, Mdude Shilikila hapo hapo dawa iwaingie.
Tatizo lako ni kwamba unaamini kila anayekushauri opposite ni mwana CCM. Mlemavu wa akili ni wewe unayedhani mdude yupo sawa.
 
MDUDE BABALAO…ANAWETESA..!
💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽
Kapiga halafu kasepa..!! Eheee..!

MDUDE MMOJA sawa UVCCM wote.
 
JPM hakulea huu upuuzi. Walilima kwa meno hawa aina ya Mdude.
Mwendawazimu yule hana lolote , Hawezi kuwa mfano, alikua Hayawani mkubwa asie na STAHA hata kidogo.

Umesahau mara hii jinsi alivyokua anadharirisha watu kila alipopita.?!

MaCCM muumize watu ili iweje?!
Mmemuumiza sana MDUDE na haya ndio matunda yake .
mvumilie au mumuue, hakuna namna , maana nyinyi MaCCM niwauaji wazuri sana Tanzania.
 
Vipi akishtakiwa kwa kosa la kumkashifu raisi aliyeko madrakani, lakini pia kumtishia maisha akaona haitoshi kumdhalilisha aliyekuwa raisi wa awamu ya tano (Ambae sasa ni marehemu) huoni nimakosa matatu yaliyoshiba yanayomtosha kurudi alikotoka kupigwa mvua za kutosha.

Nafikiri hawa ndio wapinzania wachache wanaofanya upinzania uonekane ni watu wa hovyo, wanashindwa kuelewa misingi ya harakati ni kuwa na hoja madhubuti kwa lengo la kuikosoa serikali pasipo kuvuruga amani ya nchi, wala kuleta udharirishaji na migogoro isiyo na lazima.

Chadema wawe makini na hawa watu watapoteza dira na malengo waliyojiwekea kuelekea kuiongoza nchi.
Kikubwa anayetakiwa kushitaki ni rais ,akiwa na ushahidi wakutosha basi atakutana na wataalam kwenye cross examination
 
JK alikuwa mkarimu sana kwa Mbowe na Lissu akawaalika ikulu wakanywa chai na sambusa, walipotoka hapo Mbowe akasema JK ni kigeugeu.

Mama Samia nae kachukua njia ya ukarimu hivyo matusi itabidi ayazoee. JPM hakulea huu upuuzi. Walilima kwa meno hawa aina ya Mdude.
Unamsifia marehemu kwa tabia zake za hovyo sio!?
 
Yaani unamteka mtu mara 2, unamtesa, haitoshi, unampa na makosa ya uongo ya madawa ya kulevya (wapo wanaamini Mdude ni drug dealer), ametunzwa gerezani siku 414, baadae mahakama imemuachia huru, anatoa hisia zake, wapambe mnakuja na story za "staha".

wakina mandela wamekaa miaka 17 jela achana na huyu fundi simu wa miezi 15, mandela ametoka ameanzisha movement tena bila matusi na leo hii historia yake ni lzima isomwe kila shule afrika, sasa huyu kijana wenu miezi 15 tu ashaanza kutishia kunyoa watu isitoshe ni mwanamke, yaani asiporudi ndan huyu basi kuna huruma imetokea
 
Back
Top Bottom