Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

Vipi akishtakiwa kwa kosa la kumkashifu raisi aliyeko madrakani, lakini pia kumtishia maisha akaona haitoshi kumdhalilisha aliyekuwa raisi wa awamu ya tano (Ambae sasa ni marehemu) huoni nimakosa matatu yaliyoshiba yanayomtosha kurudi alikotoka kupigwa mvua za kutosha..
WEMBE NI ULEULE!
hakuna lugha ingine ccm watakayo ielewa.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hapana, Mdude anapaswa kubadilika, siyo kwa sababu ya kuongea aliyoyaongea juzi akimtisha rais Samia, bali anapaswa kubadilika kitabia sababu ni mtu asiye na hoja na ni mropokaji tu.
Huyo dogo ni mpumbavu anatakiwa mabadiliko aisee! Hawa ndio wanasababisha vijana wa CHADEMA kuitwa nyumbu!
 
Tunamdanganya,, Siku wakimrundika kusikojulikana atakuwa peke yake Sisi tunaendelea kutafuna dona, shauri yake!
Bila watu majasiri kujitolea muda, radilimali na hata uhari, uhuru haungepatikana ktk jamii mbalimbali. Wembe ni uleule- tusipotezeane focus.
TUNATAKA KATIBA MPYA.
 
Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu.

Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba.

Hawa CCM na Vijana wao ombaomba wanafikiri kutoka kwako jela ni hisani ya Mama, eti umpigie magoti, ni mtu dhaifu pekee anaweza kufanya ujinga huo.

Siku ukiona wanaanza kukusufu kwa maneno matamu jua umekwishwa, watakuzodoa kwa style nyingine, UMEUFYATA. na watakutolea mfano.

Mdude Shikilia hapo hapo usiachie, usipoe, itabidi tu wakuzoee.
Ashikilie njia ya matusi
 
Hapa naona wengi wa waliokuwa wakisema Mdude kakaa jela muda wa kutosha atakuwa ameshika adabu na ataufyata mkia ndiyo wanaongoza kwa vilio baada ya kubaini hajabadilika na yuko real vile vile kama alivyokuwa kabla ya kubambikiwa kesi uchwara na genge la Hamnazo na wenzake, huo msimo wake unafaa kwani si wote wenye uwezo wa kupambania wanayoyaamini bila kuogopa consequences.

Mdude ana aina ya spirit ambayo ni wachache waliojaliwa nayo, wapo wanaotamani battle ya aina hiyo lakini uoga huwarudisha nyuma na wapo ambao husubiri mmoja aanzishe ndipo nao hujitokeza kuunga mapambano.

Let him lead wengine watafuata kama lengo lao ni moja, kama amevunja sheria wamshitaki kwa makosa aliyoyafanya na si kuja na vikete vya ngada kumbambikia.

Azidi kulaaniwa fashisti Hamnazo huko aliko.
 
Hapana, Mdude anapaswa kubadilika, siyo kwa sababu ya kuongea aliyoyaongea juzi akimtisha rais Samia, bali anapaswa kubadilika kitabia sababu ni mtu asiye na hoja na ni mropokaji tu.
Tabia hii haijaanza baada ya kutokewa na hayo bali ndiyo namna amekua akiitumia wakati wote.

Lama ni lazima kwa yeye kuendelea na tabia zake ni vyema, lakini CHADEMA hawapaswi kumkumbatia na kumpatia platform. Inakwaza sana kuona kundini mnakua na mtu kama huyo, ambaye unamuona hana tofauti na akina Heri James, Makonda, Sabaya, Mwigulu na akina Kigwangala
Tabia ya aina ya Nyagali ni lazima uwekwe behind bars mara nyingi! Thats a “Notorious” behaviour
 
Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu.

Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba.

Hawa CCM na Vijana wao ombaomba wanafikiri kutoka kwako jela ni hisani ya Mama, eti umpigie magoti, ni mtu dhaifu pekee anaweza kufanya ujinga huo.

Siku ukiona wanaanza kukusufu kwa maneno matamu jua umekwishwa, watakuzodoa kwa style nyingine, UMEUFYATA. na watakutolea mfano.

Mdude Shikilia hapo hapo usiachie, usipoe, itabidi tu wakuzoee.
Sijawahi kusikia siasa ni kukosoa na kutoa lugha ya kutusi, we endelea kumdanganya mwenzio tu na unajificha hapa unatype.......hakuna anayekataa kukosoa ila lazima kuheshimu mamlaka iliyopo
 
Watu kama kina mdude ndio wanaofanya chadema ionekane genge la wahuni
Siasa za “usela mavi” ziko CHADEMA watu wazima wenye Calibre ya watoto wa Form 2 waliochanganywa na balehe!
 
Kwani huyo mwehu ana cheo gani huko chadema,?ndiyo mkuu wa bavicha au,ndiyo succession plan ya chama siyo,mmekula hasara
 
Kwani huyo mwehu ana cheo gani huko chadema,?ndiyo mkuu wa bavicha au,ndiyo succession plan ya chama siyo,mmekula ha
 
Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu.

Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba.

Hawa CCM na Vijana wao ombaomba wanafikiri kutoka kwako jela ni hisani ya Mama, eti umpigie magoti, ni mtu dhaifu pekee anaweza kufanya ujinga huo.

Siku ukiona wanaanza kukusufu kwa maneno matamu jua umekwishwa, watakuzodoa kwa style nyingine, UMEUFYATA. na watakutolea mfano.

Mdude Shikilia hapo hapo usiachie, usipoe, itabidi tu wakuzoee.
Mngekuwa mnaamini katika uwezo wake, mgekuwa tayari mmempa nafasi huko CHADEMA. Hamuwezi kufany hivyo sababu mnajua ni liability, na toilet paper mnayoitumia tu chooni lakini huwezi kuileta sitting room kufutia sahani😀. Mnapata dhambi. Mdude alipata misuko suko muda mrefu hakuna watu walikuwa wanamjali. Walipoona kuna dalili ya kuachiliwa, mkaona hapa hapa tuchomoze tena, mnamtumia mnatupa huko. Mdude ni nobody ndani ya CHADEMA. Angelijua hilo angetulia
 
JK alikuwa mkarimu sana kwa Mbowe na Lissu akawaalika ikulu wakanywa chai na sambusa, walipotoka hapo Mbowe akasema JK ni kigeugeu.

Mama Samia nae kachukua njia ya ukarimu hivyo matusi itabidi ayazoee. JPM hakulea huu upuuzi. Walilima kwa meno hawa aina ya Mdude.
Jpm analima kwa meno huko chato,mungu fundi kelbu moja tu ya covid kameza ulimi tumemsahau kama hakuepo...mavuvuzela wake mnalia njaa n ukata mama kawasahau kwenye teuzi
 
Jpm analima kwa meno huko chato,mungu fundi kelbu moja tu ya covid kameza ulimi tumemsahau kama hakuepo...mavuvuzela wake mnalia njaa n ukata mama kawasahau kwenye teuzi
Kifo ni cha wote tofauti ni siku tu. Huu ujinga mnaonfanyia Rais wa sasa mlimfanyia JK pia kwa RIP mlificha mkia tumboni kaka mbwa koko.
 
Back
Top Bottom