mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
wewe hata ubongo wenyewe huna.Huna akili wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe hata ubongo wenyewe huna.Huna akili wewe.
Wangevaa viatu vyake wangeelewa. Kwa mujibu wa maaelezo ya mdude mwenyewe, inaonekana watesi wake walidhamilia kumpa ulemavu wa kudumu kama siyo kummaliza kabisa. Simulizi yake ya aliyofanyiwa akiwa magereza kiukweli inatia hasira.Yaani unamteka mtu mara 2, unamtesa, haitoshi, unampa na makosa ya uongo ya madawa ya kulevya (wapo wanaamini Mdude ni drug dealer), ametunzwa gerezani siku 414, baadae mahakama imemuachia huru, anatoa hisia zake, wapambe mnakuja na story za "staha".
kalipie kipindi kwenye redio/tv nitakuja kuzungumza mimi mwenyewe THE LOSTMnamwacha mdude anaongea jukwaani, nyie mnakuja kwa kificho nyuma ya keyboard kumjaza upepo, kwa kweli hamumtendei haki bwana mdude......
Kwa hiyo tunaomkosoa mama tujitayarishe kushughulikiwa kwa style ile ile ya kutekwa, kuteswa na kupotezwa! Kijana Ben Saanane alipohoji UPhD wa dhalimu mkuu mwendazake alipotea na hadi leo kilio cha wazazi wake ni kuoneshwa tu alikozikwa! Kumbe hii ndiyo maana ya kazi iendelee! Likizo ya Kikosi cha wasiojulikana ndio imekwisha hivyo na bila shaka tayari orodha inatayarishwa kwani msitu tayari umeandaliwa!Mnamwacha mdude anaongea jukwaani, nyie mnakuja kwa kificho nyuma ya keyboard kumjaza upepo, kwa kweli hamumtendei haki bwana mdude......
Kweli mkuu, isionekane ni mtu mmoja tu anaonekana anaongea kwa hisia na kwa uwazi......inaweza kufika muda akaelemewa na akawa mawindo ya wasiojulikana.kalipie kipindi kwenye redio/tv nitakuja kuzungumza mimi mwenyewe THE LOST
Juzi nilikaa karibu naye ile midomo kama anatumia kitu aisee!Yaani unamteka mtu mara 2, unamtesa, haitoshi, unampa na makosa ya uongo ya madawa ya kulevya (wapo wanaamini Mdude ni drug dealer), ametunzwa gerezani siku 414, baadae mahakama imemuachia huru, anatoa hisia zake, wapambe mnakuja na story za "staha".
Hakuna wasiojulikana hao mwenda zake aliondoka nao.amina.Kweli mkuu, isionekane ni mtu mmoja tu anaonekana anaongea kwa hisia na kwa uwazi......inaweza kufika muda akaelemewa na akawa mawindo ya wasiojulikana.
Ahahahahaha alipoulizwa Mzee Wasira kuwa vipi tumeona mmewakaribisha wapinzani Ikulu, akajibu 'Walikuja kwa ajili ya Juice hawana lolote'JK alikuwa mkarimu sana kwa Mbowe na Lissu akawaalika ikulu wakanywa chai na sambusa, walipotoka hapo Mbowe akasema JK ni kigeugeu.
Mama Samia nae kachukua njia ya ukarimu hivyo matusi itabidi ayazoee. JPM hakulea huu upuuzi. Walilima kwa meno hawa aina ya Mdude.
Mikutano hapana Kuna UVIKo-19Aman iwe nanyi,
Kila raia lazima awajibike kuilinda na kuitetea katiba. Yoyote anayejaribu kuvunja eitha kwa kujua ama kutojua katiba yetu na sheria zetu lazima awajibishwe (anyolewe kwa wembe).
Sheria iliyounda vyama vya siasa inatamka wazi kuwa vyama vyote viko huru kufanya siasa kwa uwazi with no exceptional.
Sasa kitendo cha rais Kutamka bila kuweka rejea ya kikatiba ama kisheria juu ya kwanini hataki kuruhusu mikutano wa kisiasa na pia kushindwa kuitekeleza sheria ya 2012 inayotaka kuundwa kwa katiba mpya huko ni kutaka kulichezea taifa.