Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
No return....mbele kwa mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Samia ndio alimpeke jela?Ujaenda magereza Fala wewe! Ukitoka na kwa kosa lisilo halali inauma sana! Hamjui tu!
Yako wapi siyaoni, kawaoneshe na waendesha mashtaka wa serikali muende mahakamani mkafungue kesi muone kama mtashinda hiyo kesi kihalali.Huoni kabisa makosa ya Mdude.....!!?
ama unajitia upofu
Vipi na bwana Kheri James?Mdude ni mfano halisi wa wana chadema walivyo!
Angalau Mbowe anaweza kuwa na siasa za kistaarabu! Lakini mtu kama Lisu akili yake ni kama hiyo ya Mdude!
Magufuli ndio alikuwa mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi, alisema mtu asiye na hela abaki na mavi yake nyumbani, je taswira ya ccm ni ipi hapo kutokana na kauli za aliyekuwa mwenyekiti wao?Mdude ni mfano halisi wa wana chadema walivyo!
Angalau Mbowe anaweza kuwa na siasa za kistaarabu! Lakini mtu kama Lisu akili yake ni kama hiyo ya Mdude!
Mdude ni mfano halisi wa wana chadema walivyo!
Angalau Mbowe anaweza kuwa na siasa za kistaarabu! Lakini mtu kama Lisu akili yake ni kama hiyo ya Mdude!
Vyama vyenye siasa safi hapa Afrika na vinavyojua kupanga mambo viko vitatu tuChama cha mapinduzi (CCM) historia iko wazi kuwa hamjawahi kuwa na siasa za kistaarabu.
Cha ajabu leo mnamshalia Mdude Nyagali kuwa ana siasa chafu.
Ni lini CCM ilifanya siasa za kistaarabu?
Sio nyie mliotia vurugu kule Hai chini ya Ole Sabaya kila mara ambapo Mbowe alifanya mikutano ya nje au ndani?
Sio nyie mliowapiga wapinzani kwa mawe kwenye chaguzi za marudio kipindi cha Magufuli?
Sio UVCCM waliokuwa wakitoa kauli chafu majukwaani kuwasema wapinzani?
Hiyo haiondoi tabia mbovu ya Lisu na MdudeMagufuli ndio alikuwa mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi, alisema mtu asiye na hela abaki na mavi yake nyumbani, je taswira ya ccm ni ipi hapo kutokana na kauli za aliyekuwa mwenyekiti wao?
Nashukuru umeona unafiki wako katika sura halisi.Hiyo haiondoi tabia mbovu ya Lisu na Mdude
Kwa hiyo ccm na chadema hakuna tofauti yeyote?Nashukuru umeona unafiki wako katika sura halisi.
kwamba mdude aifundishe ccm uhuni!!!Chama cha mapinduzi (CCM) historia iko wazi kuwa hamjawahi kuwa na siasa za kistaarabu.