Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

bahati mbaya au nzuri mwamba huwa anapata wafuasi wengi sana wanaompigia vuvuzera,kikinuka wanasambaa na kumwacha mwenyewe anapambana na kimeo chake.
Kwani Mandela alivyopelekwa gerezani alifungwa na wafuasi wake wote? Au huko kusini hao weusi walimuacha mwenyewe kiliponuka?
 
tena wengine wakaanza kula na mke wake baada ya yeye kumwacha peke yake.

sijui kama unanielewa kipi namaanisha.
 
Hajitambui huyo. Suala ni Facts inayobishaniwa humu. Mdude hajavunja sheria kutumia kauli ya wembe. Kama ni staha kila upnde ktk siasa hauna staha. Wanaomsifia mude wamemchangia pesa Milioni kumi ya kujikimu . Means anaungwa mkono. Mengine ni ubishani wa kijinga tu
Kwani Mandela alivyopelekwa gerezani alifungwa na wafuasi wake wote? Au huko kusini hao weusi walimuacha mwenyewe kiliponuka?
 
bahati mbaya au nzuri mwamba huwa anapata wafuasi wengi sana wanaompigia vuvuzera,kikinuka wanasambaa na kumwacha mwenyewe anapambana na kimeo chake.
Muongo wewe.
Kwani nani kamsaidia kupata msaada wa kisheria na pesa mpaka leo yuko huru?
 
Hajitambui huyo. Suala ni Facts inayobishaniwa humu. Mdude hajavunja sheria kutumia kauli ya wembe. Kama ni staha kila upnde ktk siasa hauna staha. Wanaomsifia mude wamemchangia pesa Milioni kumi ya kujikimu . Means anaungwa mkono. Mengine ni ubishani wa kijinga tu
kujitambua ni kumuunga mkono mdude wa mavi!!!halafu nyinyi kenge ndio mnaomharibu huyo kichaa.

sisi tunataja awe mtu wa hoja sio mropokaji.

mmemchangia 10mln na bado ana hamu ya kurudi akatumie na wapnzi wake huko alikokuwa,mnajisikiaje!!!
 
Kwani alikuwa huko kwa kuropoka??
Au unahalalisha kuwa alibambikwa kesi ya madawa sababu anaropoka, kwa nini asipewe kesi ya kuropka?

Mimi simuungi mkono mdude, na sishindani kichama, labda umekariri kwamba kila aliye humu ni mwanachama au mfuasi.

Ila tunajaribu kuweka balance kuhusu lugha za staha mnazozililia, mnaambiwa hata upande wa chama tawala hawana staha. Kwani kina Mbowe siyo Baba zenu?. Lowassa si alikuwa Kiongozi Mwandamizi, alipokuwa anagombea Chadema Mlimpa heshima mnazozitaka Mama apewe?

Ndo maana mkaambiwa tulipofikia ni kufuata sheria tu. Heshima hizi zimeshaondoka, si kwa mdude na heri james peke yao. Ni wengi tu!. Kwani Musiba ni Chadema?.. Hata kina Sugu na Heche nakiri wana kauli za kuudhi lakini nyakati hizo zimeshapita. Maneno ya Mdude si makali kama Maneno ya heri james na Meko.
 
jamhuri ndio imetupilia mbali kesi yake,au kuna sukununu anawahadaa kamsaidia!!!
Ulitaka wamfutie kesi wao. Kwani Ofisi ya DPP ni ofisi ya CCM ?

Mawakili alikuwa analipiwa na nani?
Mahabusu alikuwa anahudumiwa na nani?
Mahakamani walikuwa hawaendi kumuunga mkono?

Ulitaka wao ndo wahukumu au wamfutie kesi?
 
Kwani alikuwa huko kwa kuropoka??
Au unahalalisha kuwa alibambikwa kesi ya madawa sababu anaropoka, kwa nini asipewe kesi ya kuropka?
sijasema alikuwa huko kwa kuropoka,nazungumzia kurudi mahabusu kwa kufanya kosa jingine.
Mimi simuungi mkono mdude, na sishindani kichama, labda umekariri kwamba kila aliye humu ni mwanachama au mfuasi.
kama huna chama wala sio mfuasi wa mtu yeyote haimaanishi usione ujinga wa mdude.
Ila tunajaribu kuweka balance kuhusu lugha za staha mnazozililia, mnaambiwa hata upande wa chama tawala hawana staha. Kwani kina Mbowe siyo Baba zenu?. Lowassa si alikuwa Kiongozi Mwandamizi, alipokuwa anagombea Chadema Mlimpa heshima mnazozitaka Mama apewe?
lugha za staha ni wajibu kwa kila kiumbe,ndio maana anakemewa mdude kwa kutopitia kwake jando,kama kuna wengine wakemewe kwa wakati wao.
sijawahi mtukana waka kutoa lugha kali kwa lowasa,mbowe,wala slaa huwa nakosoa wanapokengeuka.
Ndo maana mkaambiwa tulipofikia ni kufuata sheria tu. Heshima hizi zimeshaondoka, si kwa mdude na heri james peke yao. Ni wengi tu!. Kwani Musiba ni Chadema?.. Hata kina Sugu na Heche nakiri wana kauli za kuudhi lakini nyakati hizo zimeshapita. Maneno ya Mdude si makali kama Maneno ya heri james na Meko.
heri james na musiba hawakufungwa wala kubambikiwa hayo makesi,sisi tunaongea na mdude hapa.
 
Vyama vyenye siasa safi hapa Afrika na vinavyojua kupanga mambo viko vitatu tu
1. CCM

2. ZANU PF

3. ANC
Hapo chama chenye watu wenye akili ni ANC kule Afrika Kusini vingine hivyo ulivyovitaja ni wamwagaji damu tu.
 
Chama cha mapinduzi (CCM) historia iko wazi kuwa hamjawahi kuwa na siasa za kistaarabu.

Cha ajabu leo mnamshalia Mdude Nyagali kuwa ana siasa chafu.

Ni lini CCM ilifanya siasa za kistaarabu?

Sio nyie mliotia vurugu kule Hai chini ya Ole Sabaya kila mara ambapo Mbowe alifanya mikutano ya nje au ndani?

Sio nyie mliowapiga wapinzani kwa mawe kwenye chaguzi za marudio kipindi cha Magufuli?

Sio UVCCM waliokuwa wakitoa kauli chafu majukwaani kuwasema wapinzani?
Chadema muwe mnasoma upepo na mazingira mapya ya kisiasa badala ya kuingia kichwa kichwa .Awamu ya sita ni tofauti na awamu ya tano kisiasa nendeni polepole kwa kunyatia ili mkabiliane kwa mbinu mpya siyo zile zile mlizotumia kuanzia Kwa Kikwete, Magufuli na sasa tunaziona kwa Samia za kutisha na makeke mtafeli. CCM ina wa zoom tu ikianza kuwakabili(hit back)kulingana na siasa mlizoamua kwenda nazo mtaumia. CCM ina magwiji wa kuchambua aina ya siasa kwa mazingira halisi.
 
Back
Top Bottom