UMEUFYATA. na watakutolea mfano.Hapana, Mdude anapaswa kubadilika, siyo kwa sababu ya kuongea aliyoyaongea juzi akimtisha rais Samia, bali anapaswa kubadilika kitabia sababu ni mtu asiye na hoja na ni mropokaji tu.Yaani unamteka mtu mara 2, unamtesa, haitoshi, unampa na makosa ya uongo ya madawa ya kulevya (wapo wanaamini Mdude ni drug dealer), ametunzwa gerezani siku 414, baadae mahakama imemuachia huru, anatoa hisia zake, wapambe mnakuja na story za "staha".
JK alikuwa mkarimu sana kwa Mbowe na Lissu akawaalika ikulu wakanywa chai na sambusa, walipotoka hapo Mbowe akasema JK ni kigeugeu.Hapana, Mdude anapaswa kubadilika, siyo kwa sababu ya kuongea aliyoyaongea juzi akimtisha rais Samia, bali anapaswa kubadilika kutabia.
Tabia hii haijaabza baada ya kutokewa na hayo bali bdiyo namna amekuacakiitumia wakati wote.
Lama ni lazima kwa yeye kuendelea na tabia zake ni vyema, lakini CHADEMA hawapaswi jumkumbatia na kumpatia platform. Inakwaza sana kuona kundini mnakua na mtu kama huyo, ambaye unamuona hana tofauti na akina Heri James, Makonda, Sabaya, Mwigulu na akina Kigwangala
Nyie ndio mnamponza....Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu.
Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba.
Hawa CCM na Vijana wao ombaomba wanafikiri kutoka kwako jela ni hisani ya Mama, eti umpigie magoti, ni mtu dhaifu pekee anaweza kufanya ujinga huo.
Siku ukiona wanaanza kukusufu kwa maneno matamu jua umekwishwa, watakuzodoa kwa style nyingine,UMEUFYATA. na watakutolea mfano.
Mdude Shikilia hapo hapo usiachie, usipoe, itabidi tu wakuzoee.
Hapana, Mdude anapaswa kubadilika, siyo kwa sababu ya kuongea aliyoyaongea juzi akimtisha rais Samia, bali anapaswa kubadilika kutabia.
Tabia hii haijaabza baada ya kutokewa na hayo bali bdiyo namna amekuacakiitumia wakati wote.
Lama ni lazima kwa yeye kuendelea na tabia zake ni vyema, lakini CHADEMA hawapaswi jumkumbatia na kumpatia platform. Inakwaza sana kuona kundini mnakua na mtu kama huyo, ambaye unamuona hana tofauti na akina Heri James, Makonda, Sabaya, Mwigulu na akina Kigwangala
Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu.
Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba.
Hawa CCM na Vijana wao ombaomba wanafikiri kutoka kwako jela ni hisani ya Mama, eti umpigie magoti, ni mtu dhaifu pekee anaweza kufanya ujinga huo.
Siku ukiona wanaanza kukusufu kwa maneno matamu jua umekwishwa, watakuzodoa kwa style nyingine,UMEUFYATA. na watakutolea mfano.
Mdude Shikilia hapo hapo usiachie, usipoe, itabidi tu wakuzoee.
Nakuunga mkono mkuu. Ustaarabu ni muhimu sana. Lugha za maudhi hazifai. Mdude anatakiwa kuchagua maneno ya kutumia la sivyo atakuwa anaiharibia CHADEMA.Hapana, Mdude anapaswa kubadilika, siyo kwa sababu ya kuongea aliyoyaongea juzi akimtisha rais Samia, bali anapaswa kubadilika kutabia.
Tabia hii haijaabza baada ya kutokewa na hayo bali bdiyo namna amekuacakiitumia wakati wote.
Lama ni lazima kwa yeye kuendelea na tabia zake ni vyema, lakini CHADEMA hawapaswi jumkumbatia na kumpatia platform. Inakwaza sana kuona kundini mnakua na mtu kama huyo, ambaye unamuona hana tofauti na akina Heri James, Makonda, Sabaya, Mwigulu na akina Kigwangala
Utawala wa CCM usiotii sheria umeshawa dumaza akili, sasa mnawaza jela bila kujiuliza kama wanaokwenda huko wana makosa au hawana, kama mtu ana kosa na likithibitika mahakamani apelekwe, lakini sio kupelekwa jela kwa kuonewa, amka usingizini.Nyie ndio mnamponza....
alafu akiwekwa nyuma ya nondo.....
hampeleki hata uji.....
kenge kweli nyie
Inatosha kwa ushauri huu. Lazima tujifunze kuheshimiana kama Watanzania. Lazima tujifunze kuchukuliana. Ni dhahiri Mdude kaumizwa sana na serikali hii lakini sasa yuko huru, hapaswi kupoa, lakini hapaswi kupayuka. Ana uwezo mkubwa wa kushawishi, asiutumie vibaya akapunguza wanaomwamini.Mdude Nyangali, nashauri tu uwe na kiasi
Kwa kauli yako hii simply umeshakubali kuwa mtumwa ndani ya nchi yako, ndio maana tunataka kumuondoa mkoloni mweusi tuliyenaye.Usijiingize kwenye vita ambayo kiuhalisia tu unajua huwezi kushinda.
Hiyo ni busara ya kawaida kabisa kwa mtu mwenye akili zake timamu.
Huoni kabisa makosa ya Mdude.....!!?Utawala wa CCM usiotii sheria umeshawa dumaza akili, sasa mnawaza jela bila kujiuliza kama wanaokwenda huko wana makosa au hawana, kama mtu ana kosa na likithibitika mahakamani apelekwe, lakini sio kupelekwa jela kwa kuonewa, amka usingizini.