Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

Shida yenu nyie Rangi ya Kabichi akili zenu zipo kwenye vyeo tu, gamuwezi kufanya kitu mpaka mpate vyeo, huo ni ulemavu wa akili, Mdude Shilikila hapo hapo dawa iwaingie.
 
Lissu na Mdude sio binadamu wa kawaida,hawakuumbwa kama tulivyoumbwa sisi wengine.
 
Shida yenu nyie Rangi ya Kabichi akili zenu zipo kwenye vyeo tu, gamuwezi kufanya kitu mpaka mpate vyeo, huo ni ulemavu wa akili, Mdude Shilikila hapo hapo dawa iwaingie.
Tatizo lako ni kwamba unaamini kila anayekushauri opposite ni mwana CCM. Mlemavu wa akili ni wewe unayedhani mdude yupo sawa.
 
MDUDE BABALAO…ANAWETESA..!
💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽
Kapiga halafu kasepa..!! Eheee..!

MDUDE MMOJA sawa UVCCM wote.
 
JPM hakulea huu upuuzi. Walilima kwa meno hawa aina ya Mdude.
Mwendawazimu yule hana lolote , Hawezi kuwa mfano, alikua Hayawani mkubwa asie na STAHA hata kidogo.

Umesahau mara hii jinsi alivyokua anadharirisha watu kila alipopita.?!

MaCCM muumize watu ili iweje?!
Mmemuumiza sana MDUDE na haya ndio matunda yake .
mvumilie au mumuue, hakuna namna , maana nyinyi MaCCM niwauaji wazuri sana Tanzania.
 
Kikubwa anayetakiwa kushitaki ni rais ,akiwa na ushahidi wakutosha basi atakutana na wataalam kwenye cross examination
 
Unamsifia marehemu kwa tabia zake za hovyo sio!?
 
Yaani unamteka mtu mara 2, unamtesa, haitoshi, unampa na makosa ya uongo ya madawa ya kulevya (wapo wanaamini Mdude ni drug dealer), ametunzwa gerezani siku 414, baadae mahakama imemuachia huru, anatoa hisia zake, wapambe mnakuja na story za "staha".

wakina mandela wamekaa miaka 17 jela achana na huyu fundi simu wa miezi 15, mandela ametoka ameanzisha movement tena bila matusi na leo hii historia yake ni lzima isomwe kila shule afrika, sasa huyu kijana wenu miezi 15 tu ashaanza kutishia kunyoa watu isitoshe ni mwanamke, yaani asiporudi ndan huyu basi kuna huruma imetokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…