Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Ni ushujaa-mavi tu unamsumbua huyu!

Anataka kuigiza kama Mandela fulani!
 
Ni ivi : Kama akiendeleza wembe wa mfu wenu meko basi hatoacha kuambiwa ukweli
Sasa hapo kosa liko wapi, nyinyi mataga hii nchi msiifanye ya kwenu pekee, msituletee upuuzi wenu

Kwahiyo wewe na Akili zako ndogo unaona ni sahihi kutumia kauli kama hiyo ,? Yeye mdude anasema atamnyoa aliyepo, atamnyoa kama nani ??
 
Kwahiyo wewe na Akili zako ndogo unaona ni sahihi kutumia kauli kama hiyo ,? Yeye mdude anasema atamnyoa aliyepo, atamnyoa kama nani ??
Ww acha uvivu wa kufkria ,kwani lugha ya atamnyoa umeitafairi vipi, inaonekana bado ni mgeni wa siasa
 
Huyu kijana mwezangu alikosa malezi ya wazazi Ila punguani wachache wanamshangailia badala ya kumkanya.

Ila sometimes the world is fair, kutokana na kwamba alikosa malezi walimwengu watamfunza tu.
 
Una madawa mengine?
 
Yule dogo masikio yamezidi kichwa, watamkaanga tena sio muda.

Ila mama akiwachekea hawa kima atavuna mabua.

Mbowe anamtishia mama eti hampi muda na wala hana muda wa kumpa.

Enzi za Magufuli usingesikia kauli za kidwanzi kama hizo. Magu ndio alikua anawwza watu wajinga.
 


Vyama pinzani ni vizuri sana kwa maslahi ya taifa lakini Tanzania bado sana kuwa na upinzani wenye tija

Watanzania kupitia vyama pinzani vya cuf, chadema na act tujue tuu tunapotezewa nguvu na muda wa kudhania kuna upinzani

Siasa za hawa watu ni siasa za nje kutamu ndani kuzuri
 
Hajifunzi huyu dogo mbona mama hatuna shida naye atapoteza relevance yake.
Ana haki ya kusema kikatiba na kama ingekuwa alichokuwa anakisema enzi za mwendazake ni kosa basi wangemshitaki kwa makosa hayo. Kwanini wakambambikia madawa kupitia yule msichana? Uhuru ukishatolewa hautakiwi tena kuwekewa mazonge kuwa nikosoe kwa staha na mtu akiona katika kutumia uhuru wa kujieleza amekashifiwa basi sheria iko wazi aende mahakamani kufungua madai. Kwanini hatuendi na katiba na sheria zetu badala ya kutumia hila kubambikia watu makosa ili kuwakomoa kwa kutumia haki yao waliyopewa na katiba.
 
Vyama pinzani ni vizuri sana kwa maslahi ya taifa lakini Tanzania bado sana kuwa na upinzani wenye tija

Watanzania kupitia vyama pinzani vya cuf, chadema na act tujue tuu tunapotezewa nguvu na muda wa kudhania kuna upinzani
Na ww unajiita mpinzani?[emoji23]
 

Watu wanajisahau sana yani, alfu wanatumia upole wa Huyu mama kama sehemu ya kupitisha agenda zao za kipuuzi.

Labda ngoja niseme tu, Kwenu nyinyi ndugu zetu wana CDM mnaweza mkaona kama Mama hasikii, ila kwa kauli zenu hizi mnaweza mkakosa hata hiyo fursa ya kujadili Katiba Mpya maana mmeanza kuvuka mipaka.
 
Nimeshangaa na kusikitika pia.... Amekuwa na kauli za ajabu ajabu mno....
 
Tuwe na kiasi hekima na busara
Mdude usijitengenezee uadui
Tumia akili za simba akiwa nyikani
Punguza maneno makali
Mungu hapendezwi na visasi
Una haki ya kudai haki lakini ukianza kutoa vitisho kumlenga mtu hautakuwa salama
Taratibu ndio mwendo
 
Yule kijana apimwe akili vinginevyo tunaweza kumlaumu bure ila ukimuangalia saikolojia yake utagundua ana matatizo ya akili...

Mwambieni Dola ni kubwa, familia yake na yeye watateseka peke yao huku sisi tunayempigia makofi tukiwapa pole tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…