They can do better, inawezekana long term strategy za opposition zilikuwa based on the existence of Magufuli, the opposition needed Magufuli more than the ruling party katika hiki kipindi hiki (2020 - 2025).
Magufuli was poor kwenye propaganda za kuonyesha utawala wake ni wa kidemokrasia, aliwapa wapinzani justification ya "rafu" nyingi walizokuwa wakilalamikia, huenda aliwafundisha hata watu wengi mapungufu ya katiba iliyopo na umuhimu wa kumpunguzia Rais mamlaka.
With Samia uwanja wa siasa umebadilika, as much as anaweza kuwa anafanya yale yale au hata akaja kuwakandamiza upinzani zaidi lakini ni mtulivu na makini zaidi kwenye maneno matamu yanayompa "sifa" sio ndani tu ya nchi hata katika vyombo vya kimataifa, hata upinzani waliingia mkenge na kuanza kumsifia. Upinzani umeshituka wakiendelea hivyo wanaweza kupoteza relevancy, ndio maana wameamua kuwa aggressive na ishu ya katiba mpya, na huo ndio mtihani alionao Rais kwa sasa kama atataka kuendelea kuonekana ni mtenda haki ni jinsi atakavyojibu madai hayo ya katiba mpya.
Mdude hajamnyoa yoyote, hata huo wembe hana, anajaribu kupata relevancy kama mwanasiasa.