Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

wao pia wameruhusu.

kitendo cha kuchukulia kama kutoka nje kwa mdude ni ushindi,bila kumwita na kumwelekeza njia bora impasayo ni tatizo hilo.
 
hata kama hajatukana,haya tuseme kamnyoa nani,kama anavyotaka kumnyoa samia!!

yaani dalili za kwamba hana muda na taulo aliyotupiwa ziko 100%.
 
hata yeye pia,rejea maneno yake kwa masoud.

ndio maana wengi wao walikuwa wanaumia sana,maana unamchokonoa mtu anakupuuza tu.
Ah ya masoud nimeikumbuka ile.jamaa alikuwa na uvumilivu sana.na kuna yule jamaa anajiita Gado, ni cartoonist alikuwa anamtania sana jiwe
 
Huyu jamaa hata simuelewagi yaan!!
 
lugha za kipumbavu,ndio siasa za kishamba.

kuwa mpinzani sio tiketi ya kuongea mashudu 24hrs kwa watawala na viongozi,na hata wenzie kama hawamkemei na kuonyesha kusikitishwa ni washamba pia.
Kuwa na lugha za kishamba, hukumu yake ndio kutekwa na kubambikiwa Kesi ya Madawa ya kulevya?
 
wao pia wameruhusu.

kitendo cha kuchukulia kama kutoka nje kwa mdude ni ushindi,bila kumwita na kumwelekeza njia bora impasayo ni tatizo hilo.
Zaidi, chama ambacho kimeshindwa kupeleka wabunge bungeni kushangilia kunyoa watu ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa.
 
Ah ya masoud nimeikumbuka ile.jamaa alikuwa na uvumilivu sana.na kuna yule jamaa anajiita Gado, ni cartoonist alikuwa anamtania sana jiwe
imagine anakuja mlevi wa chang'aa anakwambia jamaa hakuwa anaruhusu mawazo ya wengine.
 
Mnampaisha Bure huyu chizi

Mnamuacha anabwabwajaaaaa, miezi mitatu mingi anapoa

Msimpe kiki huyu chizi

Hana la maana
 
akifungwa mnasema kaonewa mitandao yote kelele lakini akikamatwa sabaya mnashangilia mnafurahia
 
Labda mtanguizi katika jimbo jamani au mkaa na mkewe!! alaumiwe aliemlea au kumfunza lugha!! anatafuta nafasi apate ulaji
 
Bavicha mkae na huyo mdude.
Mkishindwa mmuache awe MDUDU WA DOLA.
Awe na mipaka kauli zake.
Sijapenda kabisa
Kwa kwel,kwanza angejiweka mbali na mtandao kwa muda kidogo,kaul zake abadilike aisee ,atakuja rudishwa jela aozee jela
 
Hapa Mdude Nyangali anakiri kuwa ameshiriki uuaji na anatishia kuua tena , hili jambo lisiachwe likapita hivi hivi serikali isimung'unye manneno ifanyie kazi kadhia hii, wameanza kutajana , damu ya mtu haiendi bure
 
Hakuna matusi hapo sema ni lugha ya kiuanaharakati zaidi ndo imetumika kufikisha ujumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…