Kibukuasili
JF-Expert Member
- May 15, 2010
- 1,053
- 615
nikiendelea kukujibu tutafanana, naogopa 🤣Kwani Lipumba mwenye professor si alikua CUF damu na mbona baadae aligeuka na kuwa mnafiki, watz sisi kitu ukweli hatupendi kabisa
Unafkria kwa hivyo mlivyo watu kama nyinyi ndio ccm itatoa madaraka kuwakadhi? Dunia nzima hakuna sehem wanatoa haki kama hivyo
Shida ya hawa vijana wetu, huwa hawajitambui. Ni rahisi kutumika na huyu amelewa sifa za kijinga. Akibinywa p.umbu kidogo atazinduka usingizini. Huwezi kumtukana Rais wa nchi kama unamtukana kibakaAna safari ndefu anahitaji kubehave vizuri,sio anakuwa ka makonda ambao huwa wamevurugwa
Siasa haziendi hivyo bwasheeWw acha uvivu wa kufkria ,kwani lugha ya atamnyoa umeitafairi vipi, inaonekana bado ni mgeni wa siasa
kama unajua na unaheshimuu sheria kama unavyotamani watu waiheshimu kwako,usingeandika maneno yenye ukakasi au matusi kwa wengine,achilia mbali rais wa nchi.Kwahiyo huo mswaada umepitishwa kuwa Sheria ya mtu akipatikana na kosa kutukana unamkata na Malinda?
Kama haya yanakufurahisha basi una kasoro kifikra.Tafakari mkuu.Wala sioni tatizo, hiyo ndio freedom of speech inayolindwa na Katiba ya Zamani.
Basi tuibadilishe Katiba ya Zamani ili tuiunde itakayokataza Freedom of Speech.Kama haya yanakufurahisha basi una kasoro kifikra.Tafakari mkuu.
Kwa akili yako hii ndiyo freedom of speech?Mbona wewe huitumii?Basi tuibadilishe Katiba ya Zamani ili tuiunde itakayokataza Freedom of Speech.
Mdude hanifikii mimiKwa akili yako hii ndiyo freedom of speech?Mbona wewe huitumii?
Najua hoja zako huwa ni za kisomi sana.Hapa unamponza tu mwenzio asiyejua kuchagua maneno.Wewe mkuu ni great thinker.Mdude hanifikii mimi
Maneno yake kama kina Martin Luther king Jr.Bavicha mkae na huyo mdude.
Mkishindwa mmuache awe MDUDU WA DOLA.
Awe na mipaka kauli zake.
Sijapenda kabisa
Hahahhaha.Yaani waliomkamata na jaji aliyemuachia sasa hivi wako wanaangaliana usoni[emoji16][emoji16]
Kwamba unaona sasa jamaa yako?