Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Hawana adabu hawa watu wanaoittwa cdm, jpm aje kuwanyosha tena, hawajui hata wanataka nini. Kwao kila kitu ni ni matusi.
 
Tumtee huyu ni mwenzetu. Tumpiganie
 
Nadhan utakua Umeona Vidio ya Mdude na Tundulisu ilio sambaa mitandao uku Mdude chadema akikuahid kua kama utaendelea ivi Atakunyoa kwa wembe ule ule alio Mnyolea Mtanguliz wako
Leta video
 


Aisee, mkuu 'abdulhamis', mama asipokusikia kwa mapenzi haya uliyo nayo kwake, hakika atakuwa amepungukiwa kitu!
 
Ingekua Mimi ndio mdude kwa yaliyinikuta ningejikalia kimnya, nadhani ajitafakari, ndg zake wamshauri, au wakampime akili, vinginevyo namtabiria mabaya.
 
Mdude nakushauri jitakafari, kama itakupendeza badili aina ya siasa uifanyayo Sikutabirii mazuri sanaa baadae, huenda unataka umaarufu, Fanya siasa za kistaarabu, badili namna ya uwasilishaji wako ! Yajayo kwako sizdhani kama yatafurahisha, tunaokusuport tutapungua watabaki wanaokutumia kupanda ngazi, ni mda sahihi WA kujitafakari.
 
Akifanya siasa za "kistaarabu" utampenda na kumbusu shavuni?Muache!😝😝😝😝😝
 
[emoji16][emoji16]mama hakujua huyu jamaa hana adabu, akadhani alionewa.
Mama mama mma.... kutiana ujinga tuuuu
Stupid kabisa
Yaani ukae mahabusu kwa makosa ya Set up
Halafu uchukulie mambo poa

Katiba mpya tunataka hii nchi inapigwa na wahuni wachache tuuu
 
Makalio ya nyani kweli weye mleta uzi!Hebu weka "fidiu" yako unavyolia tuone lidomo lako lilivyokaa!😝😝😝😝😝
 
Dah nimeamini tuna vidikteta vingi Sana, Sasa hapo maneno ya mdeude na lissu Yana shida gani?
 
Katiba ya Warioba kwanza, hayo mengine baadae
 
Ingekua Mimi ndio mdude kwa yaliyinikuta ningejikalia kimnya, nadhani ajitafakari, ndg zake wamshauri, au wakampime akili, vinginevyo namtabiria mabaya.
Inashangaza watu wanaharibu maisha yao kwa kuweka imani kwa wanasiasa!
 
Matusi yepi mkuu? Mama aliwahi sema yeye na jpm Ni kitu kimoja. Lissu kakoseaje? Yaani unampangia mpinzani wako namna ya kukukosoa?
 
Nimelia vibaya mno

Mama kwa busara zake mdude alitoka

Mama kwa busara zake kairudisha nchi kwenye demokrasia...

Mkuu hata mamba hulia machozi. Tunaamini vipi machozi yako siyo ya mamba?

Kuna wenzako hapa nao wanalipa sana:


Kwamba?

"Huyu mdude kanifanya niichukie chadema sana, hiyo ndo shukrani yako Mdude hii clip imeharibu siku yangu, nimelia sana kwa uanaharakati gani kama ndo hivi? Kwanini utukane na lugha kama hii?"

Hujawahi kusikia watu wakihubiri watu kuuwawa? Hujasikia watu kuawawa, kujeruhiwa, kupotezwa,kuozea jela nk kwa sababu za kisiasa hapa hapa nchini? Hayo yamewahi kujiuliza au hata kukusikitisha?
 
Your browser is not able to display this video.


WAKATI MWINGINE TUSILEWE UVYAMA TUANGALIE NA UTAIFA HII SIO SAWA KABISA !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…