Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Hajakosea, hapana. Lakini watu wengi wakiona kakosea, basi atakuwa kakosea, tofauti na hayo, basi waelimishwe au yeye aelimishwe. Kosa ni dhana tu hapa.
 
Wembe ni ule ule.

CCM wenyewe walishasema hivi siku nyingi sana.

"Kunya anye kuku, akinya bata ameharisha"
Kuna kauli huwa tunasema hivi "Kila eneo lina mazungumzo yake."

Kuna kauli mtu huwezi kumwambia mtu mwingine,mathalani kuna kauli mtoto hawezi kumwambia baba yake au mama yake au mtu mwemye nafasi kwake,ikitokea amemwambia basi mtu huyo husemwa amekosa adabu.

Katika watu walio faulu hapa duniani ni mitume na manabii na wafuasi wao,na hakuna watu walio ishi kwa dhiki na kudhulumiwa kuzidi mitume,manabii na wafuasi wao. Kwa hali hizo zote hakuna mafundisho ya mitume,wala manabii wala wafuasi wao walifundisha kuwakosea adabu viongozi hasa hadharani.

Lakini siku zote watu wenye akili timamu huwa wanawaiga wali fanikiwa,sasa nyinyi wa wembe ule ule tena kwa kiongozi mna waiga kina nani ? Karl Max au ?
 
Mdudu Ndugai alisema mwisho tarehe tatu.Sasa kakalia kitu chenye ncha kali
 
Fuatilieni siasa ktk nchi ambazo demokrasia iko juu matharani Africa ya kusini na nchi jirani ya Kenya, mtakuja kuona kauli kama hiyo ya mdude ni cha mtoto tu.

Penye wengi hapakosi kuwa na mengi.
 
Ile kauli haina shida

Ni mhemko tu wa wakosoaji hasa ukizingatia aliyeambiwa ni mwanamke basi watu wanaonea huruma jinsia bila kujali kwamba anayeambiwa ana madaraka ya kuweza kuwaumiza watu asipoheshimu katiba.
 
Hajakosea, hapana. Lakini watu wengi wakiona kakosea, basi atakuwa kakosea, tofauti na hayo, basi waelimishwe au yeye aelimishwe. Kosa ni dhana tu hapa.
Mbona Simba jana kanyolewa kwa wembe?

Yaani leo watanzania hawajui maana ya huu Msemo. !!
 
"Nitakachowafanya, mtakwenda kusimulia Shangazi zenu"- Jiwe kwa watu wa Mtwara.

Mlisema si staha?... "Wapumbavu na Malofa"- Mkapa .
Na mengineyo . Je viongozi wana mamlaka ya kuwakosea watu adabu hadharani?
 
Wanajisahau sana hao Matanga kauli ya Heri James aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mbona hawakuzikemea
 
Fuatilieni siasa ktk nchi ambazo demokrasia iko juu matharani Africa ya kusini na nchi jirani ya Kenya, mtakuja kuona kauli kama hiyo ya mdude ni cha mtoto tu.

Penye wengi hapakosi kuwa na mengi.
Umenena Vyema mkuu,
Siasa siyo Sebule ya Familia .
Halafu Mama mwenyewe hajalalamika, Tatizo chawa ndo wanaweweseka
 
Hata nyumbani mkubwa anakosea.
 
Ile kauli haina shida

Ni mhemko tu wa wakosoaji hasa ukizingatia aliyeambiwa ni mwanamke basi watu wanaonea huruma jinsia bila kujali kwamba anayeambiwa ana madaraka ya kuweza kuwaumiza watu asipoheshimu katiba.
Inshort Mdude alimaanisha "Akizingua kama mtangulizi wake nao watamzingua na kumkosea heshima kama walivyofanya kwa Jiwe kwa Staili(Wembe) ileile"

Haina tofauti na kauli ya mama ya "Ukizingua ntakuzingua"
 
Mbona Heri James Mwenyekiti Wa UVCCM alipomwambia Lissu kama Alikoswa kwa Risasi Safari ni SINDANO hamkukemea? Acheni UNAFIKI
 
mdude ni shujaa. amnyoe huyu kama alivyo mnyoa mtangulizi wake lakini akumbuke na yeye atanyolewa na huyu kama alivyo nyolewa na mtangulizi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…