Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Vipi Hizi AKILI ndio NZURI?Kitaalamu Mdude Nyagali yuko traumatized kwa sababu ameondoka kwenye kundi la wahalufu wenziwe juzi kwa hiyo akili yake imeyumba iko kihalifu zaidi hajaanza bado kuwaza vyema kama binadamu wa kawaida.
Ili kurudi kwenye hali yake ya kawaida alitakiwa atulie kwa mwaka mmoja ili azoee mazingira ya kawaida ya ubinadamu.
Sasa ninachojiuliza CHADEMA hawana daktari anbaye angewashauri kuhusu hali hiyo? si vizuri kwa Mbowe kuwatumia watoto wa watu kwa kutumia umasikini wao kwa masilahi yako binafsi.
Ni shida kubwa sana kulinganisha vitu visivyo fanana,hapa ndipo mnapo kosea.Staha siyo kwa Rais tu, Staha kwa mtu yeyote.
Tukileta Maneno ya Jiwe humu kudhalilisha watu mbona mlikaa kimya?
Ni shida kubwa sana kulinganisha vitu visivyo fanana,hapa ndipo mnapo kosea.Staha siyo kwa Rais tu, Staha kwa mtu yeyote.
Tukileta Maneno ya Jiwe humu kudhalilisha watu mbona mlikaa kimya?
Siungi mkono alichofanya the late...lakini mdude anachokifanya ni Ku mprovoke mama. Yani anataka mama achafukwe roho...ili mdude abinywe pumbu aanze kulalamika.......Huyo famba wenu ******** kaua wangapi ? ,Leo yupo wapi ? , Famba
Achafukwe tuSiungi mkono alichofanya the late...lakini mdude anachokifanya ni Ku mprovoke mama. Yani anataka mama achafukwe roho...ili mdude abinywe pumbu aanze kulalamika.......
Naona unakuja na mifano ya kina kheri James....huyu alichofanya enzi hizo ni upuuzi na ulevi wa madaraka...ndo mana mama ujinga huo haufumbii macho....sasa inapotokea mvuta bangi mmoja anapokuja kutumia haki yake ya kikatiba vibaya kipindi ambacho tunataka mabadiliko ya katiba.. Anawasilisha kwa kupayuka..ataharibu hali ya hewa. ...kwanini hajifunzi busara za mbowe even in hard times
watu walishajitoa mughanga kitamboooo, wameshachafukwa vichwa kama kina mdude, hawaelewi A wala Z, akili zishavurugika, ukiweka maji wanaweka gongo, ukiweka sigara wanaweka bangi, ukiweka mkojo wanaweka mavi. Kuna watu ni vichaaaa haswaaaaa. Msipotumia busara mtawaua bureee.Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?
Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.
Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana
View attachment 1837535
View attachment 1839252
Kina nani haoAmbao walikuwa wanachallenge Jiwe kuwa hakuna kilichofanyika."waliokuwa wanatoa maoni yao"
Huyu ni kiongozi wa nchi yaani mtawala. Japo kauli si nzuri ila huwezi kumlinganisha na huyo raia kama mimi."Nitakachowafanya, mtakwenda kusimulia Shangazi zenu"- Jiwe kwa watu wa Mtwara.
Mlisema si staha?... "Wapumbavu na Malofa"- Mkapa .
Na mengineyo . Je viongozi wana mamlaka ya kuwakosea watu adabu hadharani?
What are you talking about !!!......Huyu ni kiongozi wa nchi yaani mtawala. Japo kauli si nzuri ila huwezi kumlinganisha na huyo raia kama mimi.
Katika nidhamu za utawala,kuna haki ya mtawala kwa raia wake na kuna haki ya raia kwa mtawala wake. Miongoni mwa haki za raia kwa mtawala wake ni utiifu na adabu,na haki za mtawala kwa raia wake ni uadilifu.
ehe tehe tehemdude ni shujaa. amnyoe huyu kama alivyo mnyoa mtangulizi wake lakini akumbuke na yeye atanyolewa na huyu kama alivyo nyolewa na mtangulizi wake.
Mama yenu kwakua mmetaka awe hivyo kwetu sisi huyu ni Rais kama taasis.Hayo mambo ya mama mama ni ya kwenu wala hayapo kikatiba.'CHADEMA wanawanyoa mama zao'
Ndiyo adabu ya chama hiyo
Unataka wakosolewe wapi?...Ni shida kubwa sana kulinganisha vitu visivyo fanana,hapa ndipo mnapo kosea.
Pili,jengeni hoja kuonyesha uhalali wa jambo hilo.
Tatu,hakuna ambaye ana kataa ya kuwa kuna watawala waovu lakini pamoja na uovu wao ni kosa kuwakosoa hadharani. Nikatoa mfano wa mzazi na mwanao,sote tunakosea ila huwezi kumkosoa mwanao kama unavyo mkosoa mzazi wako. Hilo halihitaji akili kubwa kulijua.
Kwaiyo mdude anamwita nani mama?Mama yenu kwakua mmetaka awe hivyo kwetu sisi huyu ni Rais kama taasis.Hayo mambo ya mama mama ni ya kwenu wala hayapo kikatiba.
Tena ni kosa kubwa sana kumu address Sir-100 kama mama.ni dharau kubwa sanaa
Yani watu hawajielewi kabisa.Mama yenu kwakua mmetaka awe hivyo kwetu sisi huyu ni Rais kama taasis.Hayo mambo ya mama mama ni ya kwenu wala hayapo kikatiba.
Tena ni kosa kubwa sana kumu address Sir-100 kama mama.ni dharau kubwa sanaa