Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Ila maccm yanaogopa kusimama nayo kwenye uchaguzi huru na wa haki kwa sababu wanaijua hatima yao hivyo wameona mtutu wa bunduki ndio kipenzi chao cha kuwavusha dhidi ya Chadema.
Kama Chama kina kubalika hata mfumo (dola) itaruhusu ukiona polisi, jeshi na vyombo vingine viko na CCM ujue bado mana wote hao ni Watanzania.
 
The boy is not mentally ok

Kapitia too much trauma

Chadema needs to help these young boys and girls kurecover na kuwa cool
 
Chama kinakubalika kwa kutumia mtutu kupora uchaguzi!? 😳😳😳

Kama Chama kina kubalika hata mfumo ( dola ) itaruhusu ukiona polisi , jeshi na vyombo vingine viko na Ccm ujue bado mana wote hao ni watanzania
 
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?
Kwa nini utiririkwe kwa mama Samia ty na si hata kwa Hayati ambaye hata hawezi kusema? Kijutetea?
 
Umewahi kuwashauri hao machizi waliokimbia na nguo?
Soma michango yangu yote humu, Ila Leo natukanwa basi wacha nisapoti udikteta btw sijawahi kuwa mfuasi wa chama cha siasa Ila kwa haya matusi wacha sassa nihamie the winning team tuone.

Watu hatupati nafuu hata ya kutoa ushauri unatukanwa tu.
 
Chama kinakubalika kwa kutumia mtutu kupora uchaguzi!? 😳😳😳
Huo mtutu unashika na robot 🤖 si na Watanzania ambao wako tayari kulinda nchi yao dhidi ya vikundi vya wahuni.
 
Kama Chama kina kubalika hata mfumo ( dola ) itaruhusu ukiona polisi , jeshi na vyombo vingine viko na Ccm ujue bado mana wote hao ni watanzania
Nimehamia rasmi huku. Hao mbwa ni njaa watupu very stupid no wonder Magufuli aliwakomesha. Na angefiiiirr wote
 
Nianze na Mdude

Mdude mama kaja kuponya vidonda vya watanzania vilivyosababishwa na uongozi mbaya wa magufuli.Mama kwa hakika hapendi Shari na sisi tusimsharishe kwa hulka ya mama na wakati tuliopo mama hatakiwi azinguliwe twende nae taratibu atatuvusha. Mdude kumbuka magufuli asingefariki si ajabu ungeozea jela. Mdude labda kwakuwa ilikuwa jela hukumsikia mama Ila alisema hivi UKINIZINGUA TUNAZINGUANA. mdude jirudi.

Nimalizie na CCM

Ccm mnaharibu keria ya wasanii mnawachonganisha wasanii na umma. Si ajabu diamond angemshinda burna boy Ila ccm mlichangia kushindwa kwake. Ccm msitumie hadaa kipindi Cha uchaguzi kuwalaghai wasanii wetu maskini na vijihela vyenu kampeni zikiisha nacc tunawapa cold shoulder. Haiwezekani kwenye kampeni wasanii mtutukane sisi upinzani halafu ikija kwenye mambo yenye manufaa kwenu Kama fan base spectators viwers supporters nk ndio mnatuona wanmaana . Kwangu Mimi kwasasa shujaa wangu ni jide commando na ney wanmitego. Dayamondi kafie mbele.
 
Huo mtutu unashika na robot 🤖 si na watanzania ambao wako tayari kulinda nchi yao dhidi ya vikundi vya wahuni
Kwa matusi ya leo nimeamini Hawa watu ni wahuni tupu. Hakuna mtu anataka kukubali japo hata kuheshimu uhuru wa mawazo, sasa Katiba mpya ya nini wakati Bill of Rights ipo kwenye Katiba ya sasa na bado hawaiheshimu?

Sasa mama akataze mbwa yeyote asiingie kujifanya anafanya mikutano, polisi kazi iendelee tuone sasa.

Hatuwezi kuwa na watu wanaotaka haki Ila jawatendei haki wenzao. No wonder watu wanakimbia upinzani, shit sana.

Hatuwezi kuendelea kutukanana mitandaoni simply mtu ametoa ushauri tu.
 
Kwa akili yako fupi. Maccm yanajua hayapendwi ndiyo sababu yanahofia uchaguzi huru na wa haki hivyo kung’ang’ania kuendelea kuwa madarakani kwa kutumia njia haramu za kupora kura na kuua Watanzania.


Huo mtutu unashika na robot 🤖 si na watanzania ambao wako tayari kulinda nchi yao dhidi ya vikundi vya wahuni
 
🤣🤣🤣 Kwamba Diamond angemshinda Burn Boy.

🙏🙏🙏 Huo ndio uzalendo
 

Hakika mkuu,yaani wafuasi wa Chadema hawaeleweki.ni hivyo tu siwezi kujiunga na ccm.yaani kuna wanachama ukitoa tu ushauri kuhusu chama basi wanakwambie we ni ccm hadi unajiuliza huyu mtu anatumia akili kweli?
 
Hivi ni lini maccm yaliomba radhi kuhusu kauli hii ya huyu taahira!?


Mkuu tunatakiwa tujifunze kujitofautisha na CCM.na huwezi kuhalalisha baya la ccm kwa Chadema.tukubali tu kwamba mdude alikosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…