Honestly sioni future yao kabisa heri tumtumikie kafiri tupate ujira wetu. Hao unajikuta unatamani kushauri japo hata kidogo unaishia kushushiwa heshima.Hakika mkuu,yaani wafuasi wa Chadema hawaeleweki.ni hivyo tu siwezi kujiunga na ccm.yaani kuna wanachama ukitoa tu ushauri kuhusu chama basi wanakwambie we ni ccm hadi unajiuliza huyu mtu anatumia akili kweli?
This is what kinachopaswa wajifunze ili waweze ku-win public support. Ila kwa matusi ya humu aisee sasa naelewa kwa nini nchi hawawezi kupewa hata kwa mtutu italazimika.Mkuu tunatakiwa tujifunze kujitofautisha na CCM.na huwezi kuhalalisha baya la ccm kwa Chadema.tukubali tu kwamba mdude alikosea
jambo nyinyi mataga mpo, jiwe ako kwa shetaniChadema imeshakuwa genge la wahuni fulani tu sasa hivi, na sera yao kuu ni matusi.
Mkuu tunatakiwa tujifunze kujitofautisha na CCM.na huwezi kuhalalisha baya la ccm kwa Chadema.tukubali tu kwamba mdude alikosea
Nimegundua nilikuwa nasapoti watu wa hovyo sana ambao ninwengi humu.Chadema imeshakuwa genge la wahuni fulani tu sasa hivi, na sera yao kuu ni matusi.
This is what kinachopaswa wajifunze ili waweze ku-win public support. Ila kwa matusi ya humu aisee sasa naelewa kwa nini nchi hawawezi kupewa hata kwa mtutu italazimika.
Huwezi kuacha nchi kwa wahuni namna hii. Sio kila mtu anayeshauri tofauti na matakwa yao no CCM tu au mwanasiasa.
Jambo wasilolijua ni kwamba DPP anaweza kukata Rufaa na maelekezo yakatolewa na mkuu kwa huyo hakimu, then tutaona.Kutokana na kauli aliyoitoa ndugu Nyagali ni wazi kuwa mahakama haikitenda haki kumuachia.Mdude alitiwa mbaroni baada ya series of events.Mdude Chadema hatàacha hulka yake na kuwekwa kwake ndani kupo justifiable.mahakama na hakimu alitemuachia achunguzwe.inawezekana anashawishiwa au kushinikizwa
Anajiona shujaa kumbe ni mtu aliyekosa adbau.Huyu kijana atakuja kupotea kisa ujinga wake mwenyewe
Wakati huo huo haya maccm hata mazuri ya Mbowe hawayaoni? Umewahi kumsikia ccm yeyote yule akipongeza kauli hii ya Mbowe? Au kauli njema za Chadema hazistahili kupongezwa!? Na mpaka hii leo HAJAJIBIWA. Tafakari kwa kina.
Mkuu nimeshakwambia tunatakiwa tujifunze kujitofautisha na ccm.haimaaanishi kila ccm anapofanya kitu Kibaya basi na sisi tufanye baya.sipendi mtu ambao unampa hoja Fulani halafu anaanza hooo mbona ccm walifanya hiki na kile ?kwa hivyo tunawafuatisha ccm??
Honestly huwezi kuwapa waongoze, chama kimejaa wajinga mno na wanajifanya wajuaji kumbe ni boom za chuo ndio zinawafanya waishi wakimaliza wanaanza kulewa Kvant maisha hawajui wafanyaje.Kupewa nchi ni bado sana mkuu.kuna wanachama wa chadema wapo empty headed sana.yani mtu ukikosoa utaitwa ccm au lumumba as if haustahiri kutoa maoni...
It is a mistakeChadema is supporting him
Kwa hiyo Mdude Nyangali ndio alikuwa kinyozi wa naniliuuu?Kwa uzoefu wangu kauli aliyoitoa Mdude kwa Rais Samia ingekuwa imeshapekekwa UN au ICC na picha ambata zingekuwa zimeshapelekwa.lakini kwa kuwa kauli hii imetoka kwa puppet wa walami basi itabakia hapa hapa bongo