thetowerofbabel
JF-Expert Member
- Jul 17, 2010
- 266
- 360
And you are a pro killer who call urself a corinthian ...hope ur not referring to a holly bibleMungu ni mmoja tu,aliyemchukua magufuli ndiye anahesabu siku walioshangilia pia.
lakini maisha lazima yaendelee.
Masalia ya Meko upo?Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia kama lilivyo jina lake ni kuwa na suluhu ya kitaifa ili nchi ipate maendeleo kusudiwa.
matusi yaliyotolewa dhidi yake na kiongozi mwandamizi wa vijana chadema ni matusi yanayoondoa dhamira njema ya SULUHU .
Mdude anapaswa kupingwa na wapenda demokrasia wote na awajibishwe kwa hili
MATUSI YA MWENDAZAKE VIPI ? Aliwahi kumkemea? Acheni UnafikiHii ni reaction ya mbunge wa Sumve kuhusiana na kauli ya Mwanachadema aliyetoka lupango kwa huruma ya mama Samia...
Brother hizo enzi za kutishana zimekwisha pita[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]CCM ni tembo na msamba wake ni wa tembo chadema ni bata mwenye msamba wa Tembo kwa sasa.
msirudie!!
Kwa hiyo,Hivi ni lini maccm yaliomba radhi kuhusu kauli hii ya huyu taahira!?
but atleast wametengua nerve,maana ni total mgonjwa.Magufuli died of natural cause , here ur talking a about carrying out a successful killing of Mdude
Sadala gani tena?Wapenzi wa sadala tuliwalaza na viatu1😅🥰
Freedom of speech haimaanishi absence of reasoning. Ndo maana ukitembea uchi tunakuvisha nguo. Siyo aibu kwako tu, ni aibu kwetu pia. huyu usimpe akili hiyo, akili ni ndogo.Wala sioni tatizo, hiyo ndio freedom of speech inayolindwa na Katiba ya Zamani.
Alichopata kutoka kwa jiwe kilistahiliSasa hivi wakimkamata wamfunge maisha kijana Hana busara huyu hafu eti husoma na biblia kabisa. Mdude ajifunnze na aache ujinga Tena amshukuru mama ingekuwa jiwe angeozea jela
Vitu vingine upinzani huwa hawako smart wanajikuta wanakumbana na Dola, isingekuwa Rais angekuwa jela ila hawajifunzi tuAlichopata kutoka kwa jiwe kilistahili
Kauli zao zitawa cost big time hawataki kufanya research na kujua wananchi wanataka Nini wao ni kujiropokeaAnajiona shujaa kumbe ni mtu aliyekosa adbau.
Anatakiwa kusoma upepo yeye na wana chadema wenzake...
Hilo limdude lenu ni lipumbavu, asirudie kusemaje mama hivi , ovyo kabisaNilijua ana akili hata kidogo kumbe hana lugha ya staha arudishwe jela tena akili imkae sawa anajiona mpambanaji sana
Ye ndio nani?Ushaambiwa akileta jeuri
Asipoleta jeuri jamaa hatomnyoa[emoji1]
Shikilia hapo hapo Mdude usiachilie, dogo.Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?
Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.
Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana
View attachment 1837535
View attachment 1839252
Mkuu acha tu, naona watu wamezidi kutukana badala ya kutafakari na kuibizana kwa staha wacha iwe hivyo, tusi kwa tusi halafu itaeleweka aliyeshika jembe ni Nani na aliyeshika mpini ni Nani🤷Haahaa mkuu kanywe maji kwanza
Huyu mama si ndo alisema hata upinzani ukishinda wao lazima waunde serikali ? alisema pia askari wao akimkosa mtu kwa risasi 16 anafukuzwa kazi . Yalikuwa maneni ya dhihak kubwa kwa watamzania na TUNDU LISSU, is that the reasoning ur talking about?Freedom of speech haimaanishi absence of reasoning. Ndo maana ukitembea uchi tunakuvisha nguo. Siyo aibu kwako tu, ni aibu kwetu pia. huyu usimpe akili hiyo, akili ni ndogo.
Are you attempting to play stupidity as a way of reciprocating to a stupid idea?Huyu mama si ndo alisema hata upinzani ukishinda wao lazima waunde serikali ? alisema pia askari wao akimkosa mtu kwa risasi 16 anafukuzwa kazi . Yalikuwa maneni ya dhihak kubwa kwa watamzania na TUNDU LISSU, is that the reasoning ur talking about?
Kuna kiongozi aliwahi kulinganisha na upinzani wa Kenya. Tatizo ni aina ya watu walio upinzani kukosa heshima wakitegemea wapewe na wasikilizwe. CHADEMA alipohama Slaa wakabakiza mabingwa wa vituko. Ndo wanaoitwa mashujaa.Vitu vingine upinzani huwa hawako smart wanajikuta wanakumbana na Dola, isingekuwa Rais angekuwa jela ila hawajifunzi tu