Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Tujadili hoja yake kwa utulivu kama imebeba ukweli au ni bangi fulani tu inasumbua.

Wembe anaojinasibu kumnyolea bwana yule ni upi na athari zake kwa bwana yule ni zipi hadi amtishe mrithi wa mikoba?
Walio karibu na Nyagali watoe majibu
 
Na Sasa hivi ngoja apotezwe bila kuacha ushahidi iwe janga kwa familia. Ajifunnze kuwa na limit na adabu aisee Ben saanane alikujaga kupotea na alikuwa mstaarabu sana tu.

Ngoja tuone siku 45 kama atakua kajifunza na kama bado kazi itaendelea vizuri ili akajinyoe mwenyewe.
 
yaani waliomkamata na jaji aliyemuachia sasa hivi wako wanaangaliana usoni[emoji16][emoji16]

kwamba unaona sasa jamaa yako??
Aisee kapewa second chance ni MDA ajifunze na awe mstaarabu hafu ana mzingua mazaa siku akibadilika wataanza kulia lia tena
 
hata waliomuonea huruma wanaanza ku doubt nakuhakikishia huyu in few days utaanza kuona matusi yake kwa Rais samia na huyu ni mwanamke nina hakika itakuwa sensitive sana
Vijana wanadai wasichokijua. Afu hajui kudai uhuru wakati unae mdai ni kiazi wa kudumu. Wanazani wanamdai mkoloni kwamba atahama nchi arudi kwao.
 
Hata mandela angekuwa muoga kama wewe S.A isingepata uhuru watu kama mdude wasipokuwepo CCM itatawala milele daima na kufanya ujinga wa kila aina
Ndo unavyojidanganya? Ama hakika umelewa ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…