Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Serikali imeamua kuzima mjadala wa Bandari kwa kishindo

View attachment 2716062
Hao waliowashauri kuwafungulia hiyo kesi wanakijua vizuri hicho walichokifanya? Inaonekana aliyeshauri kusainiwa Mkataba na DP World ndiye huyuhuyu aliye frame hizi charges.
Mbona wanaleta utoto kwenye mambo serious?
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu hao walio kamatwa hawaku tambua hili.

Walidhani wana pigania haki za Raia wanao jielewa, kwamba wataungwa mkono na raia wengi.

Kumbe sivyo, Walipoteza muda wao, kuwapigania wajinga wasio jitambua.

Ukikuta mtu mweusi na nyoka wanapigwa muokoe nyoka [emoji216].
 
Babu aliniasa! Usioe nyumba inayoongozwa na Mwanamke!
 
You will remember me by John Magufuli.
 
Tena wachinjwe mchana kweupeeeee watu wakiona, ili iwe fundisho kwa wengine,
Yule mjomba aliwatia virobani walikuwa wapoleee kama maji ya mtungi, ila huyu aliwabembeleza sana, sasa sheria na ifanye kazi yake
Mhaini ni kumhaini tu full stop
 
Hakuna jipya, yote ya zaman, bora wangewaacha waandamane wawapige virungu
Wewe ni mmoja ya watu wenye akili ndogo kweli kweli. Ma-idiot kama wewe ndiyo mmeshusha viwango wa JF. Yaani kila unachochangia ni kama uharo. Wapigwe virungu wana makosa gani? Kwa nini karne hii bado unaamini kwenye binadamu kupigana virungu kwa sababu ya kukosoa uongozi!
 
Hivi mnadhani ile ziara ya kagame ilikua ya burebure?
Kuna mtu alikuja kupewa semina elekezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…