Tunatarajia Mdude ataongoza haya maandamano. Sisi tunasubiri aongoze ili tuungane naye. Shime Mdude usikose kwenye hili. Kituo cha kuanzia ni kipi?
 
He! Si tuliambiwa warakq wa TEC ushamaliza na unasomwa makanisani kila Jumapili?
 
Duh huyu Mdude ni Noma mpaka Dr. Slaa naona kama anaogopa!
 
Nitafurahi sana nanyi waTanganyika mkifanya maandamano maana siku zote mkiwaachia WaZanzibari wapaparishwe kwa risasi za moto.
WaZenji wakiitisha mandamano nchi nzima nyinyi WaTanganyika mkijiona mabana wakubwa.
Sasa mtafahamu na maana ya kwanini Nyani haoni.
 
View attachment 2739633

Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia...

Ha ha ha mm ningekuwa mshauri wa serikali ningewaambia waache wafanye hayo maandamano

Yan mtu mmoja anaweza kuipa serikali siku 30?

Yan hawa kuwajibu ni kuwaongezea kujulikana, serikali ikae kimya then tuone after 30days watafanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…