Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
wameshassikia, wamebadilisha vipengele. hongereni kutuwakilisha sauti ya wengi.
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
hiki ndio tulikuwa tunataka. ssa watanzania tumeshajifunza, hawa bila kuwapigia kelele walikuwa wanatuingiza mkenge, siku nyingine tuwe machi hivi hivi.
Mdude hana cha kupoteza baada yabkupoteza marinda. Waache waendelee kumfuataUsimuamini Mdude yule akili zake haziko sawa.
muangalie kwa makini usoni utajua huyu mtu dishi limeyumba.
waliompotezea marinda, na wao watoto wao watafumuliwa tu, hivi unajua malipo ni hapa hapa duniani? amini usiamini, Mungu yupo na anaona. kama mhalifu hakutakiwa kufanywa hivyo, na pia, kama alipata madhira hayo kweli (kama ni kweli) wakati akipambania rasilimali zetu, basi huyo alijisacrifice sana yapasa tumwombee.Mdude hana cha kupoteza baada yabkupoteza marinda. Waache waendelee kumfuata
Wamenyooshwa😆😆😂
Hakuna ujasiri hapo bali ni mweuMdude ni jasiri kwelikweli.
Ujinga wake tu ndiyo umempoteza wala alikuwa hahangaikii masilahi yetu. Ni lini tulimtuma?waliompotezea marinda, na wao watoto wao watafumuliwa tu, hivi unajua malipo ni hapa hapa duniani? amini usiamini, Mungu yupo na anaona. kama mhalifu hakutakiwa kufanywa hivyo, na pia, kama alipata madhira hayo kweli (kama ni kweli) wakati akipambania rasilimali zetu, basi huyo alijisacrifice sana yapasa tumwombee.
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Mdude ni mbwabwajaji kama wabwabwajaji wengineMbm hii ni ya mda mrefu kwani siku 30 mbn zishakwisha tunaitaji mrejesho
🤣🤣🤣Mdude ni mbwabwajaji kama wabwabwajaji wengine
Sielewi mwenyew
Ufipa wameanza kubadilisha gia angani😁😁wameshassikia, wamebadilisha vipengele. hongereni kutuwakilisha sauti ya wengi.
Chizi maarifa katoka wodini
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Serikali yoyote ile ina standardsHatimaye serikali imetii na kuondoa kilichoitwa milele , hata hii miaka 30 kabla ya maandamano utaambiwa imekuwa mitano .
Nguvu ya umma