Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

"Ni heri nimuchague mtu anaekula kondoo wake kuliko kumuchagua mtu anaefanya mapenzi ya jinsia moja" Alisikika mpiga Kura mmoja kutoka Jimbo Fulani la Dsm.
Yeah chama cha mashoga
 

Attachments

  • 2488880_JamiiForums-795763129.jpg
    112.7 KB · Views: 1
  • images (3).jpeg
    30.3 KB · Views: 1
  • images (2).jpeg
    26.5 KB · Views: 1
Leo sijaziona kabisa zile tambo za sauti ya zege mh Halima Mdee. Huko kwenye ukurasa wake wa Twitter amekuwa na maneno mawili tu kuwa TUKO TAYARI!

Je ni hofu au ndio kujiamini? Ngoja tuone hii mechi itatakuwaje.
 
Hao wote uliwataja watashindwa wanauwezo wa kula na kwenda haja kubwa na familia zao mpaka mwisho wa dunia, kusome watoto popote ulimwenguni, wewe wakishindwa ama wakishinda itakusaidia nini? pambana tafuta pesa acha kutabiri maisha ya watu na wakati familia mzima mpo kwa shemeji yako
 
Mkuu napata Mashaka na alignment ya uelewa wako.

Hapa wanatabiriwa wao Vs Wapinzani wao
Ccm.
Sio wao vs matunduizi.

Naomba kuwasilisha
 
Acha kujitekenya mkuu....

Tundu Lissu ndio rais hao umewataja ni mawaziri muhimu sn kwenye serikali yake......

Hayo maeneo uliyoyataka hakuna watz mapoyoyo huko wote wanaakili timamu
Sahihi kabisa umemwambia. Ajiulize kuhusu yule alie tukana Wakatoliki na Waislamu Ccm imempitishaje kugombea Kawe?
 
Peleka utolopo wako kwa mapepo wenzio!
 
Yawezekana nisieleweke vyema katika hili ila wale mnao mweleza Gwajima kuwa atachaguliwa na waumini wake kwa hivyo atashinda mnamdanganya.

HAKUNA muumini anae ishi maeneo Mikocheni Masaki Mikocheni anasali kanisa la la Gwajima, waumini wa makanisa haya ni wakazi wa Mbagala rangi TATU,Chalambe na Majimatitu na wote ni wakazi wa WILAYA moja anayoongoza Godwini Gondwe.

Kwa maana hiyo Gwajima angeshinda kama angepitishwa Temeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…