Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

Maji ya upupu yataongezwa katika sehemu hizo.
 
Nitolee copy mkeka wako bro
 
Acha ujinga, wabunge wa Dar ni wabunge wa kitaifa.
 
Uzuri mechihazirushwilive hivyo walioko uwanjani ndo watatuambia na kipindi kile kuna mechi kuuu kati yaKazi na uhuru vs marobot aka hapa kz tu
 
65/100
 
Hakuna karata ya Jon,sasaivi ndio watz wataonyesha uhalisia.ilikua karata ya propaganda na kumpamba.UKITAKA KUONGEA UELEWEKE ZUNGUMZIA MAENDELEO YA WATU SIYO VITU,UTAELEWEKA.mwananchi Hana maji tangu uhuru leo unmletea stori za kununua ndege.
Karata Joker ni ya CCM.
Kazi ya JPM ilishauzika na upinzani walishaonyesha rangi halisi, ushindi hapo ni CCM.
Labda kina Heche ndiyo watatoa upinzani, lakini Arusha ambako nakaa sasa hivi Lema kwa heri. Hii kauli mtaikumbuka.
 
Hakuna karata ya Jon,sasaivi ndio watz wataonyesha uhalisia.ilikua karata ya propaganda na kumpamba.UKITAKA KUONGEA UELEWEKE ZUNGUMZIA MAENDELEO YA WATU SIYO VITU,UTAELEWEKA.mwananchi Hana maji tangu uhuru leo unmletea stori za kununua ndege.
Umeona ndege tu?,pumbavu sana wewe kijana
 
Hamna mechi hata moja kali hapo!! Msije mkawaponza tume ya uchaguzi mkatuletea machafuko!!
 
[SUB]Tuone Sasa Sera Nzuri, Hoja Kwa Hoja [/SUB]
[SUB]Police Wakae Mbali Kulinda Amani October [/SUB]
[SUB]Itajiamua Yenyewe [/SUB]
 
Mechi za kibabe. Hapo mtoto hatumwi sokoni. Heche na Waitara wanawezana. Namsikitikia Sugu. Watu wa Mbeya kwa Polisi ni wepesi. Halima kwa Gwajima atafute kazi ya kufanya. Lema na Gambo hapo ni moto. Muda ni mwalimu, yangu macho.
Gwajima ni kitu nyingine maskini Mzee ajiongeze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…