Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

Arusha ndo patamu apo. Mdee anashinda. Gambo anashinda. Waitara anashinda. sugu na tulia sijui,tutatafutana hapa jamvini siku ya matokeo ikifika
 
Mbeya, Arusha kitanuka... Safari hii pamoto.
 
Ni matumaini yangu ni wazima wa afya ,wale wachache ambao hawako sawa ni maombi yangu muwe sawa.


Katika uchaguzi tunao uendea mwezi wa 10 kuna wagombea watachuana vikali sana.


Lema vs Gambo
Mdee vs Gwajima
Sugu vs Tulia
Heche vs Waitara
Mbatia vs Kimei


Tabiri nani ataibuka kidedea .
 
Umewachambua vizuri......umejitahidi sana hongera.
 
Mechi za kibabe. Hapo mtoto hatumwi sokoni. Heche na Waitara wanawezana. Namsikitikia Sugu. Watu wa Mbeya kwa Polisi ni wepesi. Halima kwa Gwajima atafute kazi ya kufanya. Lema na Gambo hapo ni moto. Muda ni mwalimu, yangu macho.
huwajui watu wa mbeya..utata wao..
 
Kitendo cha CCM kumpitisha Gwajiboy kimetoa nafasi kwa Halima Mdee kushinda kirahisi sana. Hata figisufigisu hazitafua dafu.

Kwa jinsi Gwajiboy alivyowadhalilisha Waislamu asitegemee kura zao maana Misikiti itageuzwa kuwa Sunday School.

Halima kashine suit ungoje kuapishwa.
 
Umeona ndege tu?,pumbavu sana wewe kijana
Huo ni mfano tu mkuu.usinifokee.hao mnaowaita wanyonge habari za ndege zinawagusa vp.wao wanahtaji elimu bora,maji,afya na baada ya hapo utakuwa na taifa lenye afya na elimu
na automatically maendeleo ya vitu yatakuja.
 
Gwajiboy hata ukristo alishaudhalilisha....atawafaa wapagani watakao mpigia kura
 
Mchawi hesabu. Kwamba nani ana wapiga kura wangapi.
Kaka sugu harudi, Daktari Tulia atamtuiza na kumtibu ajiandae kutoa albam nitanunua.
Halima asijifanye jimbo mali yake, awe na heshima hili jimbo wapo viongozi wakubwa wa chama tumeapa kulirudisha CCM.
Lema kupigwa kwake sio kwa knock out anapigwa raundi ya tatu. Piga picha uweke kama kumbukumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…