Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

hapa hakuna mechi , chadema wanachukua mapema , sana
 
Anapendwa kwasababu hayupo nyuma katika kupigania uhuru wa mtanzania, Hakuna kitu muhimu kama kuwa na uhuru wa kujieleza, Kuna vipindi tofauti kawekwa centro, jela, n.k. Yote hii ni kwajili ya kupigania demokrasia tz.

We love sugu, tunapenda anapopigania uhuri wa kujieleza japo safari yake ni ngumu lakini tunampa sapoti arudi mjengoni, Uhuru kwanza mengine kama magorofa ndo yatafata baadae
 
Kwa niijuavyo,hapa ni chana suruali,chana shati,garagaza mpaka vumbi litimke
 
Mbeya ya wapi mkuu unayo izungumzia? kikwete amewahi pigwa mawe na wana mbeya, kuna mkuu wa wilaya juzi apa alinyeshewa mvua ya mawe, je ni mbeya ipi unayoizungimzia?

Mechi za kibabe. Hapo mtoto hatumwi sokoni. Heche na Waitara wanawezana. Namsikitikia Sugu. Watu wa Mbeya kwa Polisi ni wepesi. Halima kwa Gwajima atafute kazi ya kufanya. Lema na Gambo hapo ni moto. Muda ni mwalimu, yangu macho.
 
Ni kweli kabisa.
 
Mechi za kibabe. Hapo mtoto hatumwi sokoni. Heche na Waitara wanawezana. Namsikitikia Sugu. Watu wa Mbeya kwa Polisi ni wepesi. Halima kwa Gwajima atafute kazi ya kufanya. Lema na Gambo hapo ni moto. Muda ni mwalimu, yangu macho.
Hivi kweli unafahamu mkoa wa mbeya wewe, kuna watu wengine mnaropoka
 
Mbeya Mjini sugu kashinda amini nakwambia
 
Blaza hapo naona odd Ni Kama 5000,..[emoji1666]
 
Blaza hapo naona odd Ni Kama 5000,..[emoji1666]
 
Karata Joker ni ya CCM.
Kazi ya JPM ilishauzika na upinzani walishaonyesha rangi halisi, ushindi hapo ni CCM.
Labda kina Heche ndiyo watatoa upinzani, lakini Arusha ambako nakaa sasa hivi Lema kwa heri. Hii kauli mtaikumbuka.
Kujidanganya
 
Kimei vs Mbatia
Mbatia atapata ushindi wa kishindo. Kimei maisha yake yote alikuwa buisy DSM akiwa mkurugenzi mkuu wa benki ya crdb. Wanavunjo wanamjua Mbatia tu na Lyatonga Mrema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…