mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Hapo chadema lazima waisome namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuuKwaiyo Bill Clinton alikuwa ni pastor kabla ya kuchaguliwa kuwa wa marekani!!!?[emoji15][emoji22]
hapa hakuna mechi , chadema wanachukua mapema , sana1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .
Nategemea wote wafanye kampeni za kistarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi
Anapendwa kwasababu hayupo nyuma katika kupigania uhuru wa mtanzania, Hakuna kitu muhimu kama kuwa na uhuru wa kujieleza, Kuna vipindi tofauti kawekwa centro, jela, n.k. Yote hii ni kwajili ya kupigania demokrasia tz.Ukisema hapa Mbeya watu wa Mbeya wanampenda sana sugu bila kutaja kawafanyia nn watu wa Mbeya
Ni sawa na kuwadharau watu wa Mbeya
Siasa za mapenzi zipo katika vyama sio katika chaguzi
Box la kura linahitaji sera na utatuzi wa kero za wananchi
Kama wananchi watakuwa wanapenda tu watu bila sababu basi hao wananchi watakuwa ni vilaza
GKimei vs Mbatia
Kwa niijuavyo,hapa ni chana suruali,chana shati,garagaza mpaka vumbi litimke1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .
Nategemea wote wafanye kampeni za kistarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi
Mechi za kibabe. Hapo mtoto hatumwi sokoni. Heche na Waitara wanawezana. Namsikitikia Sugu. Watu wa Mbeya kwa Polisi ni wepesi. Halima kwa Gwajima atafute kazi ya kufanya. Lema na Gambo hapo ni moto. Muda ni mwalimu, yangu macho.
Ushindi asubuhi kabisa, hata kabla ya sadaka ya kwanza...Huyo Gwaji atakalishwa mbona.
Sugu atapata ushindi saa nne mapema kabisa.
Ni kweli kabisa.Mdee Lugha zake na matendo yake si aibu Kwa familia yake tu Ila Jimbo lote la kawe. Mda mwingi anatumia kwenye adhabu za ki bunge kuliko kuwatumikia wananchi. Ata familia yake ita pumzika kwa fedheha ambayo huwaletea pindi anapokua bungeni na nje ya bunge.
Hivi kweli unafahamu mkoa wa mbeya wewe, kuna watu wengine mnaropokaMechi za kibabe. Hapo mtoto hatumwi sokoni. Heche na Waitara wanawezana. Namsikitikia Sugu. Watu wa Mbeya kwa Polisi ni wepesi. Halima kwa Gwajima atafute kazi ya kufanya. Lema na Gambo hapo ni moto. Muda ni mwalimu, yangu macho.
Mbeya Mjini sugu kashinda amini nakwambia1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .
Nategemea wote wafanye kampeni za kistarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi
1. Nabetia upande wa John Henche
2. Nabetia upande wa Sugu (Nguvu ya uma italazimisha matokeo halisi )
3. Nabetia upande wa Mdee ( Tofauti ndogo ya kura)
4. Nabetia upande wa Lema ( Ushindi kupewa baada ya vurugu kubwa na CCM kupata aibu ya Kimataifa)
1. Nabetia upande wa John Henche
2. Nabetia upande wa Sugu (Nguvu ya uma italazimisha matokeo halisi )
3. Nabetia upande wa Mdee ( Tofauti ndogo ya kura)
4. Nabetia upande wa Lema ( Ushindi kupewa baada ya vurugu kubwa na CCM kupata aibu ya Kimataifa)
Msigwa cha mtoto huyo OutOngeza Msigwa vs Mtavasabanga
Waitara hamna kitu, amefeli vibaya ukonga wameamua kumhamishia tarimeUmesahau kwa Waitara, jamaa yupo vizuri iwe kistaarabu au kwa ubabe lazima Heche asepe
KujidanganyaKarata Joker ni ya CCM.
Kazi ya JPM ilishauzika na upinzani walishaonyesha rangi halisi, ushindi hapo ni CCM.
Labda kina Heche ndiyo watatoa upinzani, lakini Arusha ambako nakaa sasa hivi Lema kwa heri. Hii kauli mtaikumbuka.
Mbatia atapata ushindi wa kishindo. Kimei maisha yake yote alikuwa buisy DSM akiwa mkurugenzi mkuu wa benki ya crdb. Wanavunjo wanamjua Mbatia tu na Lyatonga Mrema.Kimei vs Mbatia