Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

Nami pia mjumbe wa kawe. CCM wamekosea kumweka Gwaji boy maana hana watu kuanzia kunduchi, mbezi beach mpaka kawe kwenyewe. Watu wake wanatoka pande zingine za Dar na wataopiga kura ni wana kawe
Halima anafurahi tu huko alipo baada ya kumjua mpinzani wake
 
Hahahaha, uzuri gwaji boy kampeni atajigharamia
 
1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini

2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini

3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe

4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini

Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .

Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi.
hiyo mechi ya ACKSON TULIA na SUGU mbona unamkosea sana A.TULIA maana ni mechi nyepesi mno kwake tena anashinda saa 3 asubuhi.....
Hata mechi ya ASKOFU GWAJIMA na MDEE hapo mechi ishaisha,, Mdee hamuwezi GWAJIMA kwa huko Kawe maana yeye mwenyew analitambua....
Shughuli ipo ARUSHA kwa asili ya upande ule wa kule GAMBO anashughuli pevu kwa LEMA....
 
Saikolojia ya wapiga kura imbedilika kwa 180° kutoka kusikiliza Maneno matupu kwenda kuona anayesema ametenda au amewahi kutenda nini.

Haya ni matokeo ya ukimya wa kisiasa miaka 5.

Sina wasiwasi wapinzani wao watashinda kwa matendo mema ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT. Wao watashindwa kwa Maneno mengi mazuri ambayo sio hitaji LA watanzania kwa jinsi walivyotengenezwa miaka 5 iliyopita.

Upepo huu utapita had I kwa mgombea yoyote wa upinzani ktk kiti cha urais.

Wafuasi wekeni Akiba ya hisia ili msijezirai kwa mishtuko ya matokeo ambayo mngeelewa utabiri wangu angalau mngeishia kuumwa kichwa tu.
 
"Ni heri nimuchague mtu anaekula kondoo wake kuliko kumuchagua mtu anaefanya mapenzi ya jinsia moja" Alisikika mpiga Kura mmoja kutoka Jimbo Fulani la Dsm.
 
Acha kujitekenya mkuu....

Tundu Lissu ndio rais hao umewataja ni mawaziri muhimu sn kwenye serikali yake......

Hayo maeneo uliyoyataka hakuna watz mapoyoyo huko wote wanaakili timamu
 
Mkuu hivi unamaanisha au kusukuma siku.
 
"Ni heri nimuchague mtu anaekula kondoo wake kuliko kumuchagua mtu anaefanya mapenzi ya jinsia moja" Alisikika mpiga Kura mmoja kutoka Jimbo Fulani la Dsm.
Kama lile pornstar lililopitishwa huwa linawala wanaume wenzake na kuvunja ndoa za watu eg ndoa ya mbasha mwaka huu tunalinyoosha labda misukule wake walipigie
 
Saikolojia ya wapiga kura imbedilika kwa 180° kutoka kusikiliza Maneno matupu kwenda kuona anayesema ametenda au amewahi kutenda nini.

Haya ni matokeo ya ukimya wa kisiasa miaka 5.

Sina wasiwasi wapinzani wao watashinda kwa matendo mema ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT. Wao watashindwa kwa Maneno mengi mazuri ambayo sio hitaji LA watanzania kwa jinsi walivyotengenezwa miaka 5 iliyopita.

Upepo huu utapita had I kwa mgombea yoyote wa upinzani ktk kiti cha urais.

Wafuasi wekeni Akiba ya hisia ili msijezirai kwa mishtuko ya matokeo ambayo mngeelewa utabiri wangu angalau mngeishia kuumwa kichwa tu.
Unafail sana sikuizi hauwezi kuficha ujinga wako
 
Back
Top Bottom